Ndugu wana bodi,
Kwa haya yanayotokea na kuonekana kwa macho yetu ya nyama. Bila kupepesa macho, mchakato ule wa Katiba chini ya dreva huyu mpya ungemalizika kwa muda mwafaka na kwa gharama nafuu...
Napenda kuwashirikisha wanajamiiforum wenzangu katika tafiti yangu inayohusu "uhuru wa mchakato wa katiba mpya dhidi ya mihimili ya kiserikali"
#nahitaji sheria yoyote tokea nchi yoyote, iwe...
Jukwaa la katiba ambalo kazi yake kubwa kuratibu maswala ya katiba, leo limetoa msimamo wao kwa mwenendo wa katiba iliyosimama kwa lengo la kuhamasisha iweze kusimaiwa iili ipatikane katiba...
Dini yoyote ile bila mwongozo haijawa dini,ndiyo maana kuna msahafu na biblia takatifu ambavyo ndivyo mwongozo wa mwenyezi Mungu kuwaongoza waja wake. Yeyote yule awaye akitenda kinyume na...
Uhuru wa mahakama zaidi unatakiwa kuonekana katika maamuzi. Ila mtu mmoja anaweza akawa na nguvu kuharibu au kubadilisha maamuzi husika hasa anapopewa maelekezo kutoka kwa aliyemchagua au kwa...
Kwa mawazo yangu,yote wanayoyasema sasa hawa wenzetu kuhususiana na madai ya wananchi ya kutaka kukamilishwa kwa mchakato wa kupata katiba mpya, ni uongo mtupu bali hofu yao kuu ni takwa lillilopo...
Kwa mujibu wa aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya katiba Mheshimiwa Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba wanajeshi waliokuwa wakitoa maoni yao mbele ya tume walilalamika kitendo cha kupiga mizinga 21 kwa...
MANENO HAYA ALIYAANDIKA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE MIAKA MIWILI ILIYOPITA KABLA HAJAWA KAMA ALIVYO SASA.
"SABABU 15 WIKI HII ZA KUSEMA HAPANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Katiba Mpya inapaswa kuwa...
Nimemsikia Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akisema kuwa mchakato wa Katiba utakuja baada ya Rais Magufuli kuinyoosha nchi. Hata muda huu anaongea kwenye kipindi cha Sema...
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa mchakato wa Katiba mpya uko pale pale.
Prof. Kabudi amesema hayo wakati alipokutana na Kamati ya Katiba na Sheria ya Bunge...
Unafiki unaendelea kututafuna sisi waTanzania.Wabunge wa CCM ndiyo wenye dola, wakisema NDIYO imepita hiyo. Mchakato wa kuipata Katiba Mpya ya Wananchi umetugharimu fedha nyingi sana za sisi...
Hakika nimekuwa nafuatilia Tume za Uchaguzi za nchi 3 za Afrika Mashariki Kwa maana ya Kenya Uganda Na Tanzania.Tume za Uchaguzi za Uganda Na Tanzania bado zinawajibika kufanya Kazi zake Kwa...
Wakuu
Kwa Tanzania ya sasa, uhitaji wa kufanya mabadiliko kwa katiba ya Tanzania hayaepukiki
Mchakato wa katiba mpya ulianzishwa na Kikwete tangu 2011 lakini ulikuja kufail hatua za mwisho
Ni...
Leo nimeona magazeti mawili(Nipashe na HabariLeo) yanaongelea swala la kuanza tena mchakato wa kupata katiba mpya ambapo Nipashe linasema sheria kupitiwa upya ili kuwezesha mchakato huo.
Kuisoma...
Tumemsikia Rais akielezea baadhi ya changamoto mbalimbali za kiuongozi alipokua anawaapisha mawazirina viongozi wengine.
Wakati wa mchakato wa kaatiba mpya wapo manguli wengi ikiwa ni pamoja na...
TANZANIA TUNA HOFU GANI MPAKA
TUSHINDWE KUWEKA MAHAKAMA YA
KADHI KTK KATIBA YA JAMHURI YA
MUUNGANO?
Baada ya kupitia hoja mbalimbali
zilizotolewa na wachambuzi mbalimbali
wa mambo ya kitaifa...
Katiba mpya lilikuwa ni wazo jema la kuirekebisha katiba lili iendane na wakati lkn pamoja na kuchukua muda mrefu na hatua nyingi hatimae iliishia kwenye bunge la katiba.
Nakumbuka tume ya...
Katika gazeti la NIPASHE la leo Sumaye ameandika makala yake iliyowekwa katika uk.7 , ijayo sema kuwa tatizo si katiba, bali ni kasi ya mabadiliko, amekiri Kuwa makamu wa Rais hana kazi na hata...
Hivi karibuni CCM kimefanya mabadiliko ya chama kwa ikiwa na lengo ya kuifanya CCM mpya na Tanzanania mpya
Lakini kwa hali halisi na uozo uliojaa katika katiba inayotumika kuendesha nchi hii ni...