Pamoja na kuwa swala la Tume Huru ya Uchaguzi kuwa ni swala la kikatiba zaidi,je haiwezekani kutumia vifungu vya katiba hii ya sasa na sheria ya uchaguzi pamoja,sheria ya Tume ya Uchaguzi na...
Habari wakuu,
Jaji mstaafu, Sinde Warioba yuko ukumbi wa Makumbusho katika mwaliko wa kongamano la wanawake katika uongozi kuzindua kitabu alichoandika dibaji kilichoandikwa na professa Meena...
Nimeangalia mwenendo wa masuala mbalimbali katika nchi yetu nimepata jibu moja tu nalo ni "Sasa ndo wakati muafaka wakupata katiba Mpya"
Kuna mengi yanatokea, yanafanywa lakini pamoja na hayo...
Wiki iliyopita wabunge wote pamoja na mawaziri mliungana pamoja ili makonda na mwenzake waje bungeni. Wengi tulifurahishwa kwa hatua ya mshikamano huo.
Kama kweli mnania njema na taifa na siyo...
Tukiacha ushabiki, kila mtu hawezi kubisha kwamba kasi ya usimamizi na utekelezaji wa shughuli na sera anazofanya Mh. JPM kwa sasa, na akipata Katiba Mpya tena ile ya Warioba akaisamia haswaaa...
Wakuu salamu.
Tayari nakala za katiba pendekezwa zimefika katika mamlaka za serikali za kata. katika kata ninayoishi ambayo ndo inatengeneza makao makuu ya wilaya, mtendaji kata pekee ndiye...
WIKI iliyopita, mwanahabari nguli nchini na kimataifa, Tido Mhando, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media inayomiliki televisheni ya Azam na Radio Azam, alifanya mahojiano katika Ikulu...
Kitila Mkumbo
Bado tuna safari ndefu sana ya kuwaelewa CCM. Yaani kuna mtu alitarajia kwamba Sitta angetenda tofauti na wanavyotenda CCM? Yaani kuna watu walijifanya kusahau kwamba Sitta ni...
1. Kupunguzwa kwa madaraka ya rais
Wananchi walipendekeza madaraka makubwa ya Rais hasa ya uteuzi yapunguzwe na ziundwe taasisi za kikatiba za kumshauri rais kabla hajafanya teuzi. Wananchi...
Ndugu zanguni,
Nimeshangazwa sana na ukimya wa hawa jamaa zetu ambao kila kukicha walikuwa wakiandamana na vidumu vya tindikali wakidai kujitenga na kuwa hawautaki muungano, mara ooh watanganyika...
Salaam Wanajamvi.
Ni maneno ambayo yameaandikwa kwenye Gazeti la Mwananchi Januari 04,2017, kuwa eti Rais Magufuli anatekeleza Katiba Mpya.
Polepole anataka kutuaminisha kuwa hakuna haja ya...
Wednesday, January 4, 2017
Polepole : Maoni ya Katiba Mpya yafanyiwa majaribio
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole
Kwa ufupi
Akizungumza katika kipindi cha Mada Moto...
Serikali ya Tanganyika ipo kisheria
Mwaka 1964 Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika walikubaliana kuanzisha ushirika wao unaoitwa...
MTANZANIA: Imekuwa ni kawaida kwamba ukitaka uongozi ndani ya CCM lazima uwe na uwezo wa fedha, mmejipanga vipi kuondoa dhana hii iliyojengeka na Watanzania wategemee nini?
POLEPOLE: Wananchi...
Ndugu wadau habari zenu...
Pasipo kupoteza muda nianze kwa kujitambulisha kuwa mm ni mtanzania halisi, mzalendo wa kweli na mwenye nia njema ya kupata taifa lenye malengo, maadili, na maendeleo...
Wana JF, awali ya yote, salaam, na pia niwatakie heri ya krismasi na mwaka mpya 2017.
Siku chache zilizopita Rais Magufuli amemteua mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji...
Ukweli ni kwamba kuna watu au kundi la watu halitaki kusikia kabisa hii kitu, Lakini kuna mwamko Mkubwa sana na spirit iliyowajaa watanzania katika haji ya juu kutaka kupata katiba mpya...
Kwanza nimpongeze Mhe.Rais wa Awamu ya nne kwa hatua aliyofikia ya kutuletea Katiba Mpya. Ni wakati muafaka sisi wananchi KUDAI KATIBA MPYA.
Katiba mpya ndiyo itakuwa suluhisho la kila kitu ili...
... Leo nimemsikiliza Kwa makini sana Ndugu Polepole katika kipindi cha asubuhi maarufu kama 360 cha Clouds tv
... Kwanza nampongeza Kwa kujibu maswali mengi vizuri sana na kwa facts kama kawaida...