KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Ilikuwa "April 1972" Mh: Alhaji Aboud Jumbe Mwinyi alipotwaa madaraka ya Zanzibar na kuwa Rais wa awamu ya pili wa serikali ya SMZ mara baada ya Mh: Abeid Aman Karume kuuwawa, Septembar 5, 1975...
2 Reactions
91 Replies
18K Views
Binafsi nampongeza rais kwa hatua anazochukua za haraka kutibu gonjwa la nchi hii. Anachofanya ni sawa na yale aliyofanya mwl Nyerere, kuondoa unyonyaji dhidi ya wanyonge. Mwl alchukua hatua hizi...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani nahisi kuna umuhimu wa kuweka deni la taifa kwenye katiba kwa twaweza kutumia GDP kupiga hesabu ni kiasi gani kiwa cha mwisho kukopa kutokana nauwezo wetu kama nchi ,kuwe na exemption tu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kauli ya Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli kuwa atawalinda Marais wastaafu dhidi ya mashitaka inatia woga. Mamlaka ya Rais wa sasa asiyeshtakika yana uhuru mkubwa wa mwenye kuwa nayo kuibia nchi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Jukwaa la Katiba (Jukata) limeitaka Serikali kutangaza kwenye gazeti la Serikali tarehe ya kuanza upya kwa mchakato wa Katiba mpya. Mwenyekiti wa Bodi ya Jukata, Deus Kibamba...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers) Imeweka mazingira kwa viongozi wa umma kuwa na fedha nje ya...
5 Reactions
463 Replies
37K Views
http://1.bp.blogspot.com/-VT7qqR4RuqA/VF_ARg_0eEI/AAAAAAAAASY/cfCFKDfOSe4/s1600/Nahodha%2Bna%2BMadaraka%2Bya%2BBunge.jpg
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Nikiangalia namna ambavyo raisi Maghufuli anavyoteua teua viongozi kwenye nyazifa mbali mbali, inadhihirisha namna katiba yetu ilivyo na mapungufu. Yaani nyazifa nyingi na zote...
1 Reactions
1 Replies
941 Views
Katika itaanza kuwafikia wananchi link?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
hiv kweli watanzania tunachagua viongoz au nn nashindwa kuelewa mtu anatoa hoja ya maendeleo mtu anapinga et maslah ya chama sahiv mtu anatoa hoja ndogo kwa kupinga katiba tafika kweli
0 Reactions
0 Replies
1K Views
INAMFANYA RAIS KUWA MUNGU NA CCM KUWA CHAMA PEKEE NCHINI Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara ya 46 (1) inasema "Wakati wote Rais atakapokuwa ameshika madaraka yake...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi ni kwa nini CHADEMA wameshindwa kwenda bungeni na kuintroduce sera yao ya majimbo? clearly suala la serikali tatu limeibua mjadala mzito na huenda hata likakwamisha mpango mzima wa kupatikana...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
May I have Pillars of Tanzanian constitution?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DC HAPI NDANI YA HOTMIX SAA 1:30 USIKU LEO Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi atakuwa katika kipindi cha Hotmix cha EATV usiku wa leo akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo wilaya ya Kinondoni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani habari zenu. Napenda kuuliza hivi zoezi la katiba mpya hsliwezi kufufuliwa? Maana tume spend Pesa nyingi kwenye lile zoezi lkn matokeo yake tumeificha makabatini. Mm kwa maoni yangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Uliishia wapi mbona haukukamilika?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa waliofutailia mdahalo wa Katiba wa mwezi uliopita ulimuweka kitimoto Makamu wa Mwenyekiti wa CC Taifa, Pius Msekwa. Kuna mwandishi wa habari aliongea mengi kuhusu yaliyomo kwenye katiba mpya...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Anapinga Watanzania walio nje kushikirishwa katika kura za maoni ya Katiba Mpya. Anasema Bungeni jioni hii kwamba logistics za kuwezesha zoezi hilo kufanyika dunia nzima ni gumu au haliwezekani...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mh.Magufuli katika kampeni zako uliahidi unataka kujenga Tanzania Mpya.Ni wazo zuri sana tumelikubali.Ombi letu kwako Kwa kuwa una uchungu Na nchi hii tunakuomba ufikirie jinsi Kodi za walala hoi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…