KATIBA PENDEKEZWA NIYA KIWANGO CHA JUU NA INAFAA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI: misingi muhimu ya kikatiba imezingatiwa.
MAKALA NO. 8
Tunapozungumzia katiba nzuri tunatakiwa kufahamu kwamba...
Ibara ya 238;ibara ndogo ya pili,d. Inasema kama mtu amestaafu serikali,jeshi au polisi,asihesabiwe kwamba bado ana madaraka,kws vile tu analipwa pensheni. Hii naona kama vile inawabagua wastaafu...
Nina sikitishwa na baadhi ya mawazo ya baadhi ya watu wanao jiita wana harakati na wasomi katika nchi hii, ni suala la ajabu sana kwa mtu mwenye uelewa mzuri kutetea uwepo wa serikali mbili au...
Kubadili fikra zilizojengeka kwenye vichwa(hardware) za wana-CCM wengi ili waendane na matakwa ya wananchi kwa kuwawekea vichwa vingine(vyenye mtazamo na fikra tofauti), ni jambo lisilowezekana...
Habarini Wadau,
Hili ni swali la msingi sana tulilo nalo sisi wananchi wa Tanzania. Tunashukuru kwa ujasiri na uthubutu uliothihirisha kwa kutumbua majipu katika baadhi ya vitengo na taasisi...
Watu wamekuwa wakipiga kelele kila kona kuwa Tanzania inahitaji katiba mpya.Ziko nchi duniani hazina katiba kabisa.Mojawapo ni Uingereza.Haijawahi kuwa na katiba na haina katiba kabisa.Wanaishi...
Nimekaa na kujiuliza sasa kwa nini Samuel Sitta alibadirika kabisa wakati wa bunge la katiba na kuwa Sitta mwingine kabisa.Sitta huyu alikuwa haambiliki, hashauriki, na si mpambanaji wa...
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alihukumiwa miaka 7 baadaye mahakama ikampunguzia ikabaki miezi 19. Ameripoti gerezani kuanza kifungo jana. Ameshitakiwa na kuhukumiwa kwa rushwa na obstruction of...
Kwa maana leo hii ukimuuliza Mbongo kwa nini nchi yake masikini unapata jibu haraka Katiba mbovu, kwanini watoto hawasomi jibu Katiba mbovu, kwa nini mafisadi wanaitafuna nchi jibu Katiba mbovu...
Urafiki wa Mashaka baina ya Jaji Warioba na Chama chake cha CCM uliofufuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaweza kuingia dosari baada ya Jaji huyo mstaafu kusema iwapo serikali itaanza mchakato wa...
Nimelazimika kuwaza tena suala la katiba pendekezwa baada ya Warioba kudai ataongea mchakato ukianza source Mwanainchi-27/12/2015. Sijui anachowaza Dr Mwakyembe, kama anataka kuandika katiba mpya...
Kwa jins mhe rais alivyofanya mazungumzo na kituo cha democracia tcd na wakakubaliana kuahirisha zowezi la kupiga kura ya maoni na badae mh rais akaja kubalisha mawazo gafla ya kuamua zoezi la...
"Harakati za kudai haki za wasanii zilianza muda tuu...tangu kipindi cha ukusanyaji wa maoni na tume ya jaji warioba lakini kwa hali isiyo ya kawaida Rasimu iliyotolewa na tume hiyo haikuzungumza...
MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA PENDEKEZWA
Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – aliyekuwa Lindi
Wananchi wa mkoa wa Lindi wametakiwa...
Nikiwa mwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi mwenye kadi# natamka bayana kuwa nitaitumia vema haki yangu ya kikatiba kuipigia kura ya HAPANA katiba inayopendekezwa. Kuwa mwana CCM hakuninyimi...
MAASKOFU KUSHAURI WANANCHI WAPIGE KURA YA HAPANA WAPO SAHIHI KABISA
Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) walitoa taarifa kwa wakristu wote na wananchi...
Hivi Karibuni Rais Kikwete Alikaririwa Akiwalaum Viongozi Wa Dini Kwa Kuwataka Waumini Wao Kuipigia Kura Ya Hapana Katiba Inayopendekezwa, Lakini Kikwete Huyu huyu Tangu Siku Ya Kuzindua Bunge...
nimejarib kuisoma katiba mpya na kupitia baadhi ya vifungu.kilichonishangaza zaidi viongozi wamezidi kujilinda huku (1)maoni ya mwananchi yakitupiliwa mbali nami nasema "hapana"
achilia mbali...
THEUNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATEOF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI
KamaKatiba Inayopendekezwa ni mbaya, hiyo nzuri ikoje?
auliza Rais Kikwete
Rais wa...