KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Tunu ni kitu adhimu, ni kitu cha pekee, ni hidaya, ni zawadi. Katiba Inayopendekezwa katika Ibara ya 5 imeainisha tunu za Taifa, hivyo tunu hiyo ni kitu ambacho kwa muktadha wa Ibara hii ni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ndugu viongozi wa Dini na wale wa Kiroho wajibu wenu wa msingi ni kutengeneza jamii yenye maadili mema. Hivyo kazi kubwa inayowakabili ni kukemea dhambi na kufundisha maadili mema. Mnapowakataa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHADEMA 1992-1998 m/kiti Edwin Mtei 1998-2003 m/kiti Bob Makani 2003-2008 m/kiti Freeman Mbowe 2009-2014 m/kiti Freeman Mbowe 2015-2020 m/kiti Freeman Mbowe CCM (Chama cha Mapinduzi). 1990-1996...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wana JF,hebu tuzungumze kuhusu habar hii ya katiba,maoni yaliyotolewa na Viongozi wa umoja wa kikristo Tanzania,tupigie kura ya Hapana katiba,mimi naunga mkono Je wewe?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni sahihi kusema 'wametakiwa'?! Au 'wameombwa'?! Halafu Sophia Simba na Celina Kombani ni akina nani 'kuwataka' badala ya 'kuwaomba' wanawake kupiga kura ya NDIO kupitishwa rasimu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rasimu ya warioba ingejibu kero nyingi Ni muda mfupi,watanzania huenda wamemsahau Warioba na tume yake. Lakini ili ujue ubora wa timu hii, jaribu kupitia Randama ya katiba na katiba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
IBARA YA 72. INASEMA KWAMBA Bila kuathiri masharti yaliyomo kwenye Sura hii, mtu yeyote mwenye asili au nasaba ya Tanzania na ambaye ameacha kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano kwa kupata uraia wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamii yetu ina utajiri wa kuwa na makundi mbalimbali yenye mahitaji yanayotofautiana. Katiba Inayopendekezwa imetambua haki za makundi haya ya kumiliki, kutumia, kuendeleza na kuhifadhi ardhi...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
CHADEMA 1992-1998 m/kiti Edwin Mtei 1998-2003 m/kiti Bob Makani 2003-2008 m/kiti Freeman Mbowe 2009-2014 m/kiti Freeman Mbowe 2015-2020 m/kiti Freeman Mbowe CCM (Chama cha Mapinduzi). 1990-1996...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Maaskofu Jukwaa la Wakristo: Kataeni Katiba. Dar es Salaam. (Source: Gazeti la Mwananchi) 👉Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UZURI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI ZAIDI YA MAPUNGUFU YALIYOMO: MAKALA NO. 2 Katiba inayopendekezwa imepitia mchakato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumeshuhudia vyama vya siasa vikiwa na mamlaka ya kutengua ubunge wa mbunge wa chama chao muda wowote na wakati wowote wanapojisikia. Hii ni kutokana na baadhi ya vyama kutumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HOJA ZA KUIKATAA KATIBA PENDEKEZWA HAZINA MASHIKO, MASLAHI YA WANANCHI YAMEZINGATIWA KWA KINA, SI KWELI KWAMBA INAWALINDA VIONGOZI PAMOJA NA CCM MAKALA NO. 3 Kwa muda mrefu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Malengo makuu ya nchi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwakweli, viongozi wasio waandilifu hawafai, hata hiyo katiba wamejitungi kimasilahi binafsi, no above the low!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na historia inaonekana kwamba kabila la wazanaki lina zingatia na kuenzi MAADILI NA TUNU za utu, upendo, Uwajibikaji, uzalendo, Amani na Utulivu ambayo wamekuwa wakiirithisha kizazi hadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIKA IBARA YA 90.-(1) Kwa kuzingatia masharti ya ibara ndogo ya (2), endapo mtu yeyote aliyeshiriki kama mgombea katika nafasi ya madaraka ya Rais katika uchaguzi wa Rais hakuridhika na matokeo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
IBARA YA 220.-(1) Tume Huru ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa: (a) kusimamia na kuendesha shughuli zote za uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano; (b) kusimamia na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
48.-(1) Mtu aliyekamatwa au aliyewekwa kizuizini ana haki ya: (a) kuelezwa kwa lugha anayoifahamu: (i) sababu ya kukamatwa kwake; (ii) haki ya kutokutoa maelezo yoyote; na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…