Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu. Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane. Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao. Tufanye hakuna...
60 Reactions
135 Replies
8K Views
All data suggest Azimio coalition has majority control in parliament. If Dr. William Ruto wins the presidency how will he manage to push his agenda in parliament, if Azimio stands on a zero...
1 Reactions
7 Replies
788 Views
Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania. Ifahamike...
34 Reactions
58 Replies
4K Views
Nairobi. Tanzania’s biggest gas dealer Taifa Gas has been licensed to set up gas plant and storage facilities at a site in Dongo Kundu near the port of Mombasa to supply LPG for domestic...
1 Reactions
3 Replies
926 Views
Picha zimetrend Leo asubuhi wagombea wakiwa kwenye nyumba ya ibada. Tumegundua nini hapo?
0 Reactions
6 Replies
549 Views
Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi umekanusha taarifa inayodai Rais wa Marekani Joe Biden alimpongeza Mgombea wa Azimio La Umoja, Raila Odinga kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 5. Taarifa hiyo pia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha Waziri wa Kilimo, Peter Munya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Uchaguzi Mkuu wa Kenya umefanya nijue umuhimu wa utawala wa sheria na Katiba hasa kwenye masuala muhimu ya kusimamia haki za msingi za wananchi. 1. Hakuna Kupita bila Kupingwa Kenya imeonesha...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni David Mwaure Walhiga mgombea Urais wa Kenya akiri kushindwa hata hivyo amewataka IEBC kukamilisha haraka zoezi la uhakiki na hatimaye watangaze mshindi Source Citizen tv
0 Reactions
1 Replies
545 Views
Wakenya wameonesha wasiwasi wao wanaposubiri Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kutangaza mshindi wa Kura za Urais huku wakieleza kutoridhishwa na mchakato wa uhakiki tangu ulipoanza Baadhi...
0 Reactions
3 Replies
584 Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kuchelewa kutoa Matokeo pamoja masuala mengine yanayolalamikiwa na hatua inazochukua Tume imesema kwasasa inafanyia kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baraza Kuu la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuharakisha kujumlisha Kura za Urais ili kuepusha hisia mbaya zinazoweza kuzua migogoro. Katika...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Naomba kujua ni utaratibu upi unatumika kuteua mwenyekiti na wajumbe wa tume huru ya uchaguzi na mipaka kenya.
1 Reactions
1 Replies
502 Views
Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa. Mataifa ya Afrika mna mengi ya...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very...
2 Reactions
3 Replies
937 Views
Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Jioni ya leo, Mgombea Urais wa Kenya Ruto, ameonekana mwenye tabasamu muda wote. Ni baada ya kukutana na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Twitter imeanzisha kipengele cha kuripoti matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiyo rasmi yanayowekwa na wafuasi na kambi mbili za wagombea Urais Kenya Taarifa itaonekana chini ya matokeo ya kura...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…