Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja...
MY TAKE; Hii maana yake ni kwamba uzalishaji wa chakula na mazao mengine ya biashara Tanzania utaongezeka, wakati Kenya watazidisha kununua mahindi mengi zaidi toka Tanzania...
Sababu ya mwendelezo wa matokeo ya Urais kutofautiana katika vyombo vya habari sababu imeelezwa ni kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuhesabu kutokana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yake ambao...
Polisi eneo la Kilgoris katika Kaunti ya Narok wanazuilia watu watatu wakiwemo maafisa wawili wa polisi kwa tuhuma za kusafirishwa karatasi za kupiga kura ambazo tayari zimetiwa alama na vifaa...
Nimetafakari nikakosa majib why Rais anaemaliza muda Uhuru Kenyatta kaamua kutokumsapoti aliyekuwa Makamu wake Ruto na kufanya maamuzi ya kumsupport Raila ...?!
Walau mwenye kujua mkasa huo atupange.
Watu saba wamefariki na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali eneo la Longeld, Samburu Mashariki.
Watu zaidi ya 15 walikuwa wanaenda kukutana na Mbunge...
Mwanamuziki wa Kenya, Gabriel Kagundu ‘Gabu’ ameshindwa katika uchaguzi alipokuwa akiwania nafasi ya uwakilishi wa Woodley kupitia tiketi ya ANC ambapo amezidiwa na Davidson Ngibuini 'DNG' wa UDA...
Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amevitaka Vyombo vya Habari kuongeza kasi ya kujumlisha matokeo na kuyawasilisha kwa wakati.
Vyombo vya habari vimeonesha...
Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado...
Jeshi la polisi limewakamata wasimamizi wa Uchaguzi kutoka jimbo la Kisauni, Kaunti ya Mombasa baada ya kukataa kuhesabu kura
Waliwekwa chini ya ulinzi kwa kuhujumu mchakato wa kuhesabu kura...
Blinken amesema ipo tabia mbaya ambapo mataifa makubwa yanapenda kuingilia siasa za nchi nyingine..
Akizungumza jana alipokuwa Afrika Kusini alisema nchi yake haitaingilia masuala ya demokrasi...
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.
Wale...
Karani wa uchaguzi katika eneo bunge la Dagoretti Kaskazini, Kaunti ya Nairobi, alikabili ghadhabu za wapiga kura walioshutumu kwa udanganyifu katika uchaguzi.
Afisa huyo anadaiwa kumpa mpiga...
Serikali ya Kenya imesogeza mbele muda wa kufungua shule hadi Agosti 15, 2022 badala ya Agosti 11 kama ilivyokuwa awali kwa kuwa bado mchakato wa kuhesabu kuwa za uchaguzi mkuu unaendelea.
Waziri...
Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura.
Watu...
Mzuka wanajamvi!
Kesho jioni watu tutakuwa tumehakikishiwa ushindi mnono wa ndugu yetu William Ruto kuwa Rais wa Tano Kenya.
Ruto atakuwa Rais kwa mihula miwili Hadi 2032. Na baada ya hapo...
MAAFISA nane wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa na Polisi na kusimamishwa kazi baada ya kukutwa wakifanya mkutano wa siri.
Maafisa hao wamekamatwa katika kaunti za...
Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi...