Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema leo kushindwa kwa mamlaka ya Kenya kuwawajibisha polisi kwa tuhuma za kuua mamia ya watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2017...
Waziri wa Elimu, Prof. George Magoha ametangaza kufungwa kwa ghafla kwa shule zote kuanzia Agosti 2 kabla ya uchaguzi mkuu nchini humo na kufunguliwa Agosti 11 na kuwaacha katika sintofahamu...
Nchi ya Kenya inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais wa awamu ya 5 mapema mwezi Agosti 2022. Duru za uchaguzi zinaonesha kumpa nafasi zaidi Bwana Raila Odinga ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi...
Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa.
Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94...
MY TAKE; Hahahaha sababu GDP ya Kenya ni kubwa kuliko GDP zote duniani.
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
RAILA ODINGA AWAJIBU WANAODAI HAWEZI KUONGOZA NCHI KUDAI HAJATAHIRIWA
"Baadhi ya watu wanasema siwezi kuwa Rais sababu sijatahiriwa. Ninajiuliza Walijuaje kuwa sijatahiriwa?” Raila Odinga"...
A day after Central Bank of Kenya (CBK), Kenya’s monetary authority, said that Chipper Cash and Flutterwave were not licensed to operate in the East African country, the regulator has directed all...
Peter Mbogo Njiru
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka...
William Ruto amekosoa uamuzi wa Mpinzani wake, Raila Odinga kutoshiriki Mdahalo wa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Agosti akisema kitendo hicho ni kuepuka Uwajibikaji
Amesema Raila si Mgombea...
This system uses Direct Digital Synthesis Sweep and dedicated software to maximize its effectiveness. This high powered jamming system vehicle enables the operator to swiftly program the unit via...
Kuelekea Mdahalo wa Wagombea Urais wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Julai 29, Raila Odinga amesema hayupo tayari kushirikiana na Mpinzani wake mkuu, William Ruto. Mdahalo kati ya Wagombea Wenza...
Dar es Salaam. If you believe that growing rice, maize and other crops that have traditionally been grown for food would not make business sense, then you far off the mark.
While it is true that...
Picha: Msemaji wa zamani w Serikali, Kenya Lee Njiru
Aliyekuwa Msemaji wa Serikali wakati wa utawala wa Daniel arap Moi, Lee Njiru amefunguka kuhusu jinsi baadhi ya wafanyikazi wa Ikulu...
Mamia kwa mamia ya raia wa Kenya wameonekana na mabegi yao katika mipaka ya Tanzania na Kenya kutafuta hifadhi baada ya sintofahamu ya tarehe 26/10.
Kwa siku ya jana watu zaidi ya 700 kutoka Kenya...
MY TAKE; Spika wa bunge la Tanzania, amelitaarifu jopo la "speakers" toka nchi za SADC kwamba, ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2022, vijiji vyote Tanzania vitakua vimeshaunganishiwa umeme.
Wale...
Shule ya Mosoriot katika Kaunti ya Bomet imefungwa kwa muda usiojulikana, baada ya kubainika kuwa Mwalimu wa Shule hiyo, Bernard Kirui aliwaingilia kinyume na maumbile watoto 3 wa kiume wenye umri...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha wa Roots, Profesa George Wajackoyah amesema hatashiriki kwenye Mdahalo unaotarajiwa kufanyika leo kwa kudai kuwa Mdahalo umepangwa
Wajackoyah ni Mgombea wa...
Polisi katika mji Mkuu Nairobi wamevamia ofisi zinazoaminika kuwa na uhusiano na Naibu wa Rais, William Ruto, na kuchukua kompyuta 2 na seva 2
Uvamizi huo unajiri huku kukiwa na mvutano kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.