VISA za kuingia nchi za 26 za Ulaya zimeisha hivyo wakenya waliokuwa wanataka kuingia nchi hizo watasubiri hadi Septemba 2022. VISA za Schengen ina nguvu za kumfanya mtu atembelee nchi yoyote ya...
Kenya has frozen plans by a Tanzanian billionaire to set up a gas plant and storage facilities at the Mombasa port, threatening a trade spat between the two neighbouring countries.
The Energy...
Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na...
Marais wa mataifa ya EAC wameizindua hii barabara jana...
Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru Kenyatta on Friday officially opened the 42.4km Arusha Bypass, which is part of the regional...
Jacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama mwanafamilia na mrithi wa sehemu ya ardhi inayoripotiwa...
Chiefs of Defence Forces from the East African Community (EAC) member states have kicked off discussions on modalities of establishing a regional force that will help restore peace and security in...
Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) imesema kuwa Wakandarasi wa Smartmatic International BV wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta walipowasili kutoka Venezuela...
Three employees of Smartmatic International B.V, the company procured by the electoral commission IEBC, to provide technology for the August 9th General Election were arrested on Thursday at Jomo...
Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa...
Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake.
Facebook imesema kuwa imeondoa...
Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18
Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4...
Ni kawaida kabisa Nairobi kukutana na mtu mwenye akili timamu barabarani akiwa amevaa koti na tai mchana wa jua kali
Ni kawaida kabisa kwa mtumishi mwenye cheo kikubwa kabisa Kenya kuvuta bange...
Siku ni ya nne ya mashindano hayo ya riadha(IAAF), ambayo yanaendelea kule mji wa Oregon, USA. Kenya tayari ina medali zingine mbili, moja ya fedha na nyingine ya shaba.
NAIROBI, Kenya, Jul 19 –...
Mwanaume aliyechanganyikiwa akili (mwehu), amevamia kanisani wakati misa ikiendelea na kumpiga padri kisha kupora biblia.
Video ya tukio hilo imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ambapo...
MY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007...
Photo: Secretary George Magoha
Hours after reports that Education Cabinet Secretary George Magoha and his staff were paid more than Sh10 million in allowances for touring the country “to monitor...
Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika.
Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando...
Mtayarishaji wa maudhui katika Mtandao wa #Tiktok nchini Kenya #Aq9ine amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya baada ya kuripotiwa kula buibui baada ya kuanza kuumwa kifua huku joto la mwili...
Rais Uhuru Kenyatta leo, Jumatano, tarehe 8 Septemba 2021, ametangaza ukame unaoathiri sehemu za nchi kuwa janga la kitaifa.
Kwa hivyo, Rais ameagiza Hazina ya Kitaifa na Wizara ya Mambo ya Ndani...
Uhusiano mwema kati ya Kenya na Somalia umerudi. Kenya sasa itaruhusiwa kuexport miraa kelekea Somalia. KQ pia itaruhusiwa kuoperate Nairobi-Mogadishu route.
======
Somalia has allowed the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.