Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu
1 Reactions
7 Replies
603 Views
Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata...
2 Reactions
6 Replies
599 Views
KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...
1 Reactions
11 Replies
908 Views
Kenya imeamua kusitisha mipango ya kutuma maafisa wa polisi nchini Haiti iliyokumbwa na ghasia chini ya ujumbe wa kimataifa unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, afisa mmoja mwandamizi wa serikali...
3 Reactions
12 Replies
835 Views
Parliament has called for the formation of an inquiry to investigate how 133 applicants who are among individuals who applied for the position of Revenue Service Assistances (RSA) at the Kenya...
1 Reactions
3 Replies
772 Views
Nimeangalia katika taarifa ya habari hapa katika kituo kimoja cha kimataifa Nchi ya Kenya imeingia mkataba wa kupeleka askari wa jeshi sijajua ni police au military. Kwaajili ya kulinda amani...
2 Reactions
5 Replies
471 Views
Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader...
2 Reactions
8 Replies
818 Views
Hatua hiyo inafuatia ongezeko la Kodi na Tozo mbalimbali zilizopitishwa kupitia Sheria mpya ya Fedha ya mwaka 2023, Sheria ambayo imelalamikiwa kuongeza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tukisema Kenya, ni, akili kubwa, tuwe tunaelewa, binti wa Raisi yupo anahojiwa Citizen, ni mjasiriamali katika kilimo, anafuga nyuki, analima, anasaidia vijana. Huku kwetu ni nadra Sana kusikia...
5 Reactions
8 Replies
924 Views
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida...
1 Reactions
2 Replies
416 Views
KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ili nimeliona kwenye Mtandao ambapo mchungaji mkubwa kutoka AMERICA ameendisha crusade kubwa sana ya kuombea Taifa ambapo Rais wa nchi hiyo na Mkewe pamoja na Makamu wake wa Rais waliudhuria Kuna...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Kenya mpo ,Tanzania rasmi ndani ya Afrika imepeleka timu kubwa mbili toka Derby ya kariakoo yaani Young Africans na Simba Kuna wakati lazima usemwe Tanzania ndio Giant ya mpira kwa sasa Africa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Rais Ruto amesema kuwa Kenya inakusudia kuendelea na mipango ya kuongoza misafara ya usalama iliyoidhinishwa na Umoja wa Mataifa kwenda Haiti, licha ya mahakama mjini Nairobi kuzuia kupelekwa kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Philippine-based betting firm now opens Nairobi hub THURSDAY, MARCH 16, 2017 20:11 NAIROBI WILL ALSO BECOME THE FIRM’S HUB IN THE PLANNED EXPANSION INTO OTHER AFRICAN COUNTRIES. FILE PHOTO | NMG...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema kutahiriwa siyo lazima. Eti kwani Mungu hakukosea kuweka ile ngozi maana ina umuhimu wake. Je yupo sahihi? Ebu tujadili
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Akizungumza katika Mkutano wa Wabunge wa Chama Tawala na Mawaziri, Rais William Ruto amewaonya Vikali Wabunge 'Wavivu' akiwashutumu kwa kutokuwepo katika Majimbo yao ambapo Serikali inatekeleza...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…