Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao...
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eliud Kipchoge ni mwanariadha na ametunukiwa PhD ya Heshima kutokana na anavyoweza kuliweka Taifa lake pamoja kupitia Ushindi wake kila aendapo huko Duniani Wasomi wote nchini wamekubaliana kuwa...
2 Reactions
9 Replies
622 Views
Ndugu wana JF naomba kiwasilisha. Naomba tujikite kujadili kwa kina faida na hasara za kuungana na kuwa jumuiya ya Afrika mashariki. Kwa historian muungano huu uliwahi kuwepo na ukavunjika kwa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama mtu kuteseka kwa jambo ambalo liko nje ya uwezo wake. Nazungumzia jamii ambayo imekuwa nadra sana kuzungumziwa hasa kwa Afrika Mashariki. Watu wa jinsi...
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Mvua kubwa zilizosababisha mafuriko yaliyoathiri Kaunti 10 nchini humo zimesababisha idadi ya vifo kuongezeka hadi 120, huku zaidi ya kaya 89,000 zilizoachwa bila makazi pia zikipewa hifadhi...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Rais Dr Ruto amefanya mabadiliko makubwa kwenye Baraza la Mawaziri Taarifa kamili itakujia. Mlale unono 😀😀😂 --- President William Ruto with his Cabinet Secretaries during a Cabinet meeting at...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa...
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Niazime Gari nitaweka mafuta 😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣
12 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Mstaafu wa kenya Uhuru Kenyatta, ameiambia serikali iliyoko madarakani iache kuulaumu utawala wake kwa kushindwa kutimiza malengo iliyowaahidi Wakenya. Uhuru amesema serikali ya rais...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
KIONGOZI wa Chama cha Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa bado hajajiandaa kujiondoa katika ulingo wa kisiasa na kwamba hatostaafu. Raila mwenye umri wa miaka 78 alidokeza kujaribu...
2 Reactions
4 Replies
620 Views
Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22 Ni hujuma kwa Ruto Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
1 Reactions
4 Replies
706 Views
Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Seneti ya Kenya inatarajia kujadili Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa ambao umeweka faini ya Ksh milioni 1 (Tsh 16 milioni), kifungo kisichozidi miezi 12 au vyote kwa mtu atakayetoa...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Ningependa tutumie fursa hii kushare nyimbo za kizalendo za nchi hizi mbili. Haswa zile nyimbo za kizalendo za enzi za Kenyatta/Moi na Nyerere. Nimetafuta nyimbo za Kitanzania lakini sijapata.
4 Reactions
37 Replies
18K Views
Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…