Muungano wa Azimio la Umoja umesisitiza kuwa mpango wa maandamano ya Julai 19 hadi 21, 2023 ili kupinga ongezeko la gharama za Maisha unaendelea licha ya onyo kali kutoka viongozi mbalimbali wa...
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amezindua mchakato wa kukusanya saini milioni 10 kabla ya Ijumaa wiki ijayo kwa lengo la kumuondoa Rais William Ruto madarakani.
Azimio La Umoja One Kenya Party...
Nadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei.
Lingine, Raila alishajua anaenda...
Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani.
Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana...
Watu wasinielewe vibaya, kuna utofauti kati ya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja mmoja. Majirani zetu wakenya wametuzidi uchumi wa nchi. Hali ya uchumi katika nchi yao ipo juu kushinda yetu...
Baada ya kuchukua bandari zote za Tanganyika kwa mkataba wa kimangungo kwa ahadi kemukemu ambazo hazijaandikwa popote kwamba watazifanya bandari kuwa bora kwa kuvutia mizigo Afrika nzima, wameenda...
Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake.
Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku...
Kiongozi huyo wa Muungano wa Vyama vya Upinzani kupitia Azimio la Umoja One Kenya, amesema wamefuta mazungumzo yote na Serikali baada ya Rais William Ruto kusaini Sheria ya Fedha inayolalamikiwa...
Muungano wa Vyama vya Upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema uamuzi huo unatokana na maombi ya Sekta mballmbali Nchini humo zinazotaka kushiriki Maandamano hayo.
Taarifa iliyotolewa na...
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema uharibifu uliotekelezwa na waandamanaji kwenye barabara maarufu ya 'Nairobi Expressway' utagharimu Serikali ya Kenya takriban milioni 700, sawa na...
Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi wakati wa maandamano nchini Kenya huku magari matatu ya Polisi yakichomwa motO na wananchi.
Maandamanano hayo yanaongozwa na kiongozi wa upinzani...
Kelele kelele
"Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa...
Raila Odinga
Kiongozi Mkuu wa Upinzani Raila Odinga amesema kuwa anatarajia kukamatwa wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuthibitisha kukamatwa kwa aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya...
Odinga Kila analosema wanatii, hata aliwambia kesho msipige mswaki asee jamaa wanatii the same Makenzie aliwambia hakuna kula mpaka mfe na kweli wakatii na wakafa kweli, hahaaa nimehitimisha...
Seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna kwenye mahojiano na televisheni ya Citizen amethibitisha maandamano sasa yatadumu kwa siku tatu mfululizo kila wiki; kuanzia Jumatatu mpaka Jumatano...
Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na...
Maandamano ya Jumatano yalishuhudia uharibifu mkubwa zaidi ikilinganishwa na ya hapo nyuma huku waandamanaji wakiharibu barabara maarufu ya Expressway, ambayo ilikuwa ndio mradi mkubwa zaidi na wa...
Muungano wa sekta binafsi nchini Kenya(KEPSA) umesema kuwa taifa linakadiria hasara ya Ksh bilioni 3 kila Upinzani unapoongoza maandamano ya kupinga Serikali.
Kepsa imesema hasara hii inatokana...
Watu watatu wameaga dunia eneo la Mlolongo kwenye barabara ya kuelekea Mombasa kufuatia vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini.
Aidha waandamanaji wa eneo hilo leo wameharibu sehemu ya...
Hali ni tete katika maeneo mengi ya Kenya leo baada ya waandamanaji kuitika mwito wa Kiongozi wa Upinzani. Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji huku...