Katika Kuadhimisha Siku ya Madaraka huko nchini Kenya Rais Ruto kasema anakosa Usingizi akiwaza Kupanda kwa Gharama za Maisha kwa Wakenya na hali Ngumu ya Maisha.
Chanzo: Gazeti la The Standard...
Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka...
Ni baada ya kuhusishwa katika kashfa ya Uagizaji wa tani 125,000 za mafuta ya kula bila kodi, na kuuzia Wafanyabiashara wa jumla, na kuikosesha Serikali mapato ya takriban Ksh. Bilioni 6, sawa na...
Joseph Juma Buyuka, alifariki kwa njaa baada ya yeye pamoja na washukiwa wengine kadhaa kuanza mgomo wa kutokula chakula mwanzoni mwa mwezi Juni, 2023, kwa kupinga kuzuiliwa kwao kwa kuhusika na...
Huku wanafunzi 5 na dereva wakifariki katika ajali ya Kaburengu, Busia Wanafunzi wengine 6 walipata majeraha na wanapokea matibabu katika hospitali ya kaunti ya Webuye.
Ajali hiyo inatajwa...
Democratic Republic of Congo (DRC) President, Felix Antoine Tshisekedi has been accused of inciting masses against the East African Community Regional Force (EACRF) deployed in the volatile...
MY TAKE; Kwa wale waliokua wakishabikia nchi za Afrika kukandamiza haki za binadamu kwa kigezo cha kuachwa kuwa huru bila kuingiliwa na nchi zingine hata pale inapoonekana wazi kukandamiza haki za...
Utafiti mpya umebaini kuwa zuio la muda wa kuwa nje ya usiku hadi alfajiri nchini Kenya, iliyotekelezwa mwezi Machi 2020 kwa lengo la kupunguza maambukizi ya COVID-19, ilisababisha bila kukusudia...
Kibaka wa mtaani jela miaka 210,
ila walamba asali wanatamba *****
===
Kenya. Mwanamume mwenye umri wa miaka 55 aliyeshtakiwa kwa makosa manne ya wizi wa kimabavu na shtaka jingine la ubakaji...
MY TAKE: Kwa watanzania wanaodhani katiba mpya ndiyo jibu la viongozi kutofanya mambo kiholela, naomba wajifunze toka kwa jirani.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii.
Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua...
MY TAKE; Ikumbukwe kwamba hata huko DRC ambako KDF walikwenda kupambana na M23, hakuna lolote wameweza kufanya na wakaazi wa maeneo hayo wametaka KDF waondoke kwasababu hawana msaada wowote.
Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022.
Kitengo cha Ulinzi cha...
Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya Ukumbi Wakisusia Bajeti mara baada ya Waziri kuanza kusoma.
Ni wabunge wa nchi jirani ya Kenya.
===
Azimio coalition MPs stage walk-out of the House as...
Katibu wa Hazina, Njuguna Ndung'u amewaambia Wakenya wajiandae kujitolea kwa muda mfupi wakati bajeti kadiriwa ya Ksh. Trilioni 3.6 sawa na takriban Tsh. Trilioni 51.2 ya 2023/24 ikitarajiwa...
Wananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi.
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri...
Wadau nataka kutoka Dodoma, Tanzania kutembea Nairobi, Kenya tu for like three days.
My budget is 30K Kwa pesa ya Kenya I just want to go and just walk around there and see how Nairobi looks...
Benki ya Dunia imeionya Kenya kutokana na ongezeko la kodi katika mwaka mpya wa fedha ujao, ikisema ongezeko hilo linaweza kupunguza na kuathiri shughuli za kiuchumi katika nchi hiyo.
Muswada wa...
Michael Macharia Njiri maarufu kwa jina la Dj Brownskin ameshtakiwa kwa kusaidia kujiua kinyume na kifungu cha 225 (b) cha kanuni ya adhabu.
Inadaiwa kuwa tarehe 29 Julai 2022, eneo la Kariobangi...