Romania kumuondoa balozi wake nchini Kenya kwa matamshi yake ya ubaguzi
Matamshi ya balozi huyo kuwaita waafrika Nyani yameshutumiwa vikali
Afisa mmoja wa Kenya anaelezea majaribio ya ubalozi wa...
Hii ni baraa
Bi Chege, alisema alinyang’anywa simu aina ya iphone 14 mnamo Juni 8, 2023 kufuatia vurugu zilizozuka katika bunge la kitaifa.
Akizungumza eneo la Meru, mbunge mwakilishi huyo wa...
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imeidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Usalama wa Taifa (NIS).
Haji atakula kiapo siku chache zijazo akichukua nafasi...
Nimefatilia mjadala kuhusu finance bill ulioletwa na Royal media Services Kenya , daa wakenya wako na Hali ngumu sana kimaisha hasa kwenye eneo la chakula. Wengi wanalalamikia ugumu wa maisha, bei...
Kenya’s goods trade surplus with Africa reached record levels in the first three months of the year driven by the fastest growth in exports for 12 years and a first fall in expenditure on imports...
MY TAKE: Hivi Ukiacha na mbio ndegu, kuna kitu gani kimebaki?.
Conclusion: Tanzania is "Hoyeeeeeee......
-----
Dar es Salaam, Djibouti and Berbera ports have toppled Mombasa in the World Bank’s...
Kwa sasa kwenye kambi ya Upinzani Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndiye mwenye uwezo wa kuchambua mambo ya kiuchumi baada ya Prof Lipumba kuyumba.
Lakini namuangalia Odinga hapa Citizen TV namuona...
Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa.
Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya...
Polisi wamefyatua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji Jijini Nairobi wanaopinga baadhi ya hatua zilizopendekezwa na Serikali za kuweka kodi mpya au kuongeza kodi kwenye vitu ikiwemo mafuta...
Viongozi wa Muungano wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wamegoma kukubali mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria maombi ya kitaifa yaliyoratibiwa kufanyika leo.
Kwa mujibu wa taarifa...
IBM East Africa general manager Nicholas Nesbitt (left). PHOTO |FILE
By MUTHOKI MUMO, mumumo@ke.nationmedia.com
Posted Thursday, December 15 2016 at 20:24
IN SUMMARY
Kenya mulls roll-out...
Dunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na...
Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana...
Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa...
Picha: John Ngumi
Mshauri wa uwekezaji na mzoefu wa bodi John Ngumi amejiuzulu kutoka Bodi ya shirika la ndege la kitaifa Kenya Airways (KQ) baada ya kutumikia chombo hicho kwa miaka minne...
Chadema mnaweza kupata uzoefu wa Katiba Mpya ilivyojengwa kupitia Katiba ya Kenya
Nafuatilia hapa mubashara Citizen TV baadaye nitarudi kwenye Operesheni +255
===========
Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda...
Serikali ya Kenya imeongeza makato ya tozo ya miamala kuanzia July 2023.
Ikumbukwe Kenya ndio Huwa role Model ya Chadomo Kwa Kila kitu "Ogopa Matapeli"
MY TAKE; Sijawahi kuona TV station yoyote Hulu Tanzania ikiendesha mdahalo unaohusu kulinganisha Tanzania na Kenya, hii inanyesha wazi jinsi Tanzania inavyosumbua akili za wakenya(inferiority...