Polisi nchini Kenya wamemkamata Hellen Wanjiru Weri (62) ambaye anadaiwa kuongoza dhehebu tata nchini humo ambapo anadaiwa kuwashikilia watu 32 kwenye nyumba yake huku wakiwa dhaifu kiafya...
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amerejea Nairobi baada ya kumalizika kwa ziara ya kibinafsi huko Dubai.
Raila ambaye amepokelewa na aliyekuwa kinara mwenza wake katika Uchaguzi Mkuu uliopita...
This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location...
Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana.
Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa...
Naam,
Tunaitaka serikali ya Kenya, William ruto kumuachia haraka sana mchungaji, nabii Paul McKenzie kwani swala la vifo vya watu 73 ni la kijinga na la kipuuzi mno ni lakujitakiaa ujinga...
Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki ametangaza kuwa serikali imesitisha shughuli ya kusaka miili ya waumini wa dhehebu la mchungaji Paul Mackenzie kutokana na mvua kubwa...
Rais #WilliamRuto amesema Wakenya sasa watakuwa wakichangia asilimia 3 ya mapato yao kwenye Mfuko wa Ujenzi wa Nyumba za Bei Nafuu ili kuwasaidia watu wengi zaidi kununua na kumiliki nyumba hizo...
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Uhuru Kenyatta ameibua hisia mseto miongoni mwa raia wengi wa Kenya, wakihoji ni sababu gani hasa inamfanya Kiongozi huyo mstaafu kugoma kustaafu siasa kama...
Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali.
Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi.
Cheo ni dhamana. Sasa...
KENYA: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA), George Njao, amepewa likizo ya lazima ya siku 30 na bodi ya Shirika hilo kutokana ongezeko la visa vya ajali katika siku...
Rais William Ruto ametoa wito wa kushtakiwa kwa Mchungaji #PaulMackenzie kuhusiana na vifo zaidi ya 40 vya wafuasi wake ambao aliwaagiza kufunga kula hadi kufa na miili yao kugunduliwa ilizikwa...
Wakuu,
Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana.
Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo...
Hizi ni jamhuri mbili tofauti:
Odinga katangaza kurejea barabarani.
Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2?
Kama wanaoyaitisha ni wananchi...
Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha Waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu.
Huyu ni Paul McKenzie Nthenge wakati kanisa lake la Good News International...
Joel Kimurgor (19) anashikiliwa kwa kuiba chupi za Wanawake katika Kijiji cha #Tegeyat, Kaunti ya Nandi, kufuatia mfululizo wa kutoweka kwa ajabu kwa nguo hizo zilizoripotiwa katika eneo hilo
Kwa...
Miongoni mwa waumini wa kanisa la mchungaji Paul Makenzie wa nchini Kenya [emoji1139] waliookolewa walipokuwa porini kwenye maombi ya kufunga ili kuonana na Yesu.
Ila pamoja na kuokolewa bado...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ametoa masharti hayo kwa Kiongozi wa Azimio La Umoja One Kenya, Raila Odinga na kusisitiza kuwa anatakiwa akiri hadharani kuwa anamtambua William Ruto kuwa...