Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia.
Mwanafunzi huyo wa darasa...
Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%.
Ruto...
Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya.
Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi...
The 84km Kenol - Sagana - Marua dual carriageway project in Kenya is set to be partially opened before the end of 2021.
The USD 273.3 million project is the country’s second most expensive road...
Hongera sana wana Kenya kwa uchaguzi uliokuwa wa uwazi mkubwa. Katika Afrika bado sijaona uchaguzi ulioendeshwa vizuri kuliko huu wa Kenya.
Ukweli mchungu Uchaguzi Tanzania ni sehemu ya...
Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki.
Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila...
Wakuu twende mbele turudi nyuma, nchi ya Kenya imeitupa Tanzania mbali sana kimaendeleo. Nakiri sijawahi kufika Kenya, lakini nimekuwa mfuatiliaji sana wa mafanikio ya wenzetu kupitia kupitia...
The late Moses Okiror Omusolo. PHOTO | COURTESY
The Media Council of Kenya (MCK) has condemned the Wednesday, December 21, 2022, murder of Standard journalist Mr Moses Okiror Omusolo.
In a...
Rais William Ruto ameuambia Upinzani kuacha kumsumbua kuhusu ahadi zake za kampeni kwa Wakenya alizotoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9.
Akizungumza wakati wa ibada ya Krismasi ya madhehebu...
Saudi Aramco, the world’s biggest oil producer, is set to enter the Kenyan market through the acquisition of US motor oil and lubricants group Valvoline which has a presence locally.
The...
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu...
Wapiganaji wa kundi la kigaidi Al-Shabab wameshambulia gari la polisi mashariki mwa Kenya na kuwaua maofisa wawili na raia mmoja wakidai kuishinikiza Kenya kuondoa vikosi vyake kutoka kwa ujumbe...
Kiongozi huyo wa Muungano wa Azimio la Umoja amesema Serikali imeshindwa kutekeleza ahadi ilizoahidi kwa Wakenya wakati wa kampeni za Uchaguzi.
Waziri Mkuu huyo wa zamani amesema "Wakenya...
Ametoa kauli hiyo baada ya kuibuka kwa maneno mengi mitandaoni kuwa taasisi yake binafsi inatumia fedha za umma kuendesha shughuli zake mbalimbali.
Tangu kuapishwa kwa baba yake, Septemba 2022...
Awamu ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia inaendelea kutoa SoMo kwa majirani..
Baada ya Tanzania Kuanza Kutoa Mikopo kwa Wanafunzi wa Diploma ,Ruto ameamua kuiga Tanzania na yeye ataanza kuwapa mikopo...
Sasa KCB kuhudumia wananchi milioni 90 kule DRC.
========
KCB Group will officially begin operations in the Democratic Republic of Congo (DRC) after its acquisition of a majority stake in the...
Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro.
Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto...
Kuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America.
Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi...