Amani muhimu sana DRC....
========
NCBA Group is set to launch its mobile phone banking services M-Shwari in Ghana, Ethiopia and the Democratic Republic of Congo (DRC) through partnerships in...
Kiongozi huyo amerudi kwa kufungua akaunti mpya kwa jina la @4thPresidentKE, ambayo inapatikana kwenye majukwaa ya #Facebook na Twitter.
Kenyatta alijiondoa mitandaoni Machi 2019 kwa...
Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya?
Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete...
Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF).
Baada ya hatua hiyo, wawakilishi...
Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe.
Mpaka sasa sijasikia mgombea...
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu...
Wanamazingira wapinga mti wa mbuyu kungolewa na kuuzwa. Miti hiyo adhimu inayoenziwa na wenyeji wa kaunti ya Kilifi pwani ya Kenya hutumika kwa shughuli nyingi za kijamii.
Mambo hayo ni kama...
Ndani ya wiki moja Kuna ghorofa liliporomoka, lilikuwa jengo la Ghorofa 7. Jana tena jengo la Ghorofa 5 nalo limeporomoka.
Hili swali niwaulize wakenya. Tatizo nini huko? Hakuna wahandisi...
Hamna haja ya kuendelea kuzungushana DRC, muda umefika wa kulazimisha amani, hutaki sepa.... Na ukizingua unakumbana na mkung'uto..
Kenyan President William Ruto on Monday said the East African...
Kenya Airways to earn billions in sale of 7 aircraft
SUMMARY
The listed airline had a fleet of 41 airplanes at the end of last year
Restructuring its fleet, including selling aircraft and...
Kenya airways wamesign makubaliano na Delta airlines in a codeshare agreement.
The new agreement increases customers' travel options to 19 cities in Africa and 25 cities across the U.S. and...
Kama mada ilivyoeleza hapo juu, naomba kusikiliza experiences zenu while doing business in Tanzania as a Kenyan.
Is this something you would recommend?
Nashukuru.
Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais.
Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa...
Jengo la ghorofa 7 lililokuwa linajengwa katika eneo la Kasarani Jijini Nairobi limeanguka huku zaidi ya mafundi 10 wakiwa ndani ya jengo hilo
Wananchi wamefanikiwa kuwaokoa watu wawili...
Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi.
Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka...
Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu.....
Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video...