Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Rais wa Kenya William Ruto amekanusha madai kuwa ana mpango wa kufuta ukomo wa mihula miwili ya Urais nchini humo na kuweka ukomo wa umri wa kuwania kiti cha urais kwa miaka 75. Mjadala huo...
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na...
0 Reactions
3 Replies
928 Views
My Take: Sasa kama wameshindwa kulinda amani nchini kwao, huko DRC wanaenda kufanya nini? Haya ni maajabu ya Dunia. [emoji13]
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Marekani inatoa zawadi ya Dola Milioni 10, sawa na Tsh. 23,300,000,000 kwa watu ambao watatoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Mahad Karate, Jehad Mostafa na Ahmed Diriye ambao ni viongozi wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF...
31 Reactions
280 Replies
13K Views
Fungua video hapo uangalia, Kuna cha kujifunza
1 Reactions
6 Replies
827 Views
MY TAKE: Kama Kuna kijana wa kitanzania bado yupo single chukua Binti huyo, hataki kurudi Kenya, usiangalie Sana hiyo sura ya mbuzi, ndivyo walivyo hao[emoji13][emoji13][emoji13]
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Gavana wa Kaunti ya #Garissa, Nathif Jama ameamuru kuondolewa kwenye orodha ya malipo kwa zaidi ya majina 3,000 ya Wafanyakazi hewa yaliyogunduliwa kufuatia ukaguzi wa rasilimali watu Ukaguzi huo...
1 Reactions
1 Replies
798 Views
Hii vedio inajieleza. Tutunze mazingira. Selikali simamieni hili.
0 Reactions
3 Replies
545 Views
Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge. Pia, Wabunge wamewatuhumu Mawaziri...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Daily Hansard - Westminster Hall 9 Oct 2013 : Column 61WH Westminster Hall Wednesday 9 October 2013 [Martin Caton in the Chair] International Criminal Court (Kenya) Motion made, and Question...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara...
5 Reactions
241 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakenya niliwashauri mumchague Ruto ila ningependa tena kusema hatakuwa kiongozi mzuri kama nilivyokuwa namfikiria. Poleni. Ameanza kuwanunua wapinzani wake jambo ambalo ni baya sana katika...
24 Reactions
45 Replies
4K Views
Bunge la Kenya limepitisha kiasi hicho cha fedha kwa Wanajeshi 1,000 kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikiwa ni bajeti ya miezi 6. Imeelezwa ruhusa hiyo ya Dola Milioni 37 imetolewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kupitia ripot ya Tathmini ya Athari za Gharama ya Mpango wa Mabadiliko ya Kiuchumi wa Bottom-Up 2022 hadi 2027', ofisi ya bajeti inakadiria kutumia fedha hizo kutekeleza kikamilifu ilani ya Rais...
0 Reactions
3 Replies
699 Views
Chini ya Serikali ya Rais mpya #WilliamRuto, waendesha mashtaka wameondoa kesi kadhaa dhidi ya baadhi ya washirika wake kwa misingi sawa ya kesi hizo kukosa ushahidi Kwa kuanzia, Novemba 10...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6 Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
764 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…