Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
20 October 2022 Meru, Kenya Gavana Kawira Mwangaza ameapa kuikomboa County ya Meru toka mikononi mwa vikundi vilivyozowea kujineemesha kinyume cha sheria. Akiongea kuhusu azma yake ya safisha...
1 Reactions
0 Replies
430 Views
Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 34 anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga aliyejifungua Julai 16 mwaka huu na kuuficha mwili ndani ya nyumba yake kwa zaidi ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Amesisitiza dhamira ya Serikali yake katika kukomesha Mauaji ya kiholela nchini humo, kwa kuagiza Mipango ya Mageuzi ya Jeshi hilo na uangalizi wa Raia. Haya yanajiri siku chache tu baada ya...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Ni muda mfupi sasa tangu Rais William Ruto aingie madarakani, na polepole ameanza kuweka mipango ya utekelezaji wa sera atakazozipa kipaumbele katika kipindi chake cha uongozi. Wakati vumbi la...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Ethiopia, Somalia and Kenya face devastating drought The next rainy season in East Africa is forecast to fail, jeopardizing food security for millions of people. Act now. PDF version Every five...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Greetings! Can anyone share with me information about Kenyan primary school (boarding) located near Tanzania?. My favourite location are near Arusha and Kilimanjaro along the border! I want to...
0 Reactions
4 Replies
571 Views
• Speaking in Parliament on Wednesday, Matiang'i said 51 officers are attached to Ruto's 10 other properties. • Kitengela Gas has six officers, Weston Hotel has four officers while Murumbi Farm...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Maafisa 12 wa polisi Nchini Kenya wanakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika makosa yaliyofanywa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017, ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Jamaa baada ya kuona mambo...
1 Reactions
7 Replies
870 Views
Taita Taveta referral county hospital Hawa hu-cross border kuja Kilimanjaro kutibiwa! sishangai kama referral hospitals zipo hivi Kenya! In Tanzania referral hospitals are well respected!
15 Reactions
659 Replies
115K Views
Since many Kenyans are mocking the gains to the Government of Tanzania from the agreement between government and Barrick Gold, it's time to see how Kenya fairs in relation to Tanzania...
4 Reactions
220 Replies
25K Views
Akiongea kwenye Hafla ya Kodi nchi Kenya Rais Wa Nchi hiyo Dkt William Samoei Ruto ameshangazwa na ukusanyaji wa Kodi unaoendeshwa na KRA mamlaka ya Mapato ya Nchi hiyo, Kwani ni watu Million 7 tu...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
In the last financial year ending March 2022, Kenyans transacted close to Ksh30 TRILLION. ($250 billion) on Mpesa. That's more than the GDPs of all EAC countries combined. That's impressive, but...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2 Mawaziri hao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2 Mawaziri hao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kamouni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom leo Alhamisi imezindua mtandao wa 5G Wi-Fi mbadala wa huduma za nyumbani na huduma ya 4G Wi-Fi. Kampuni inalenga makazi na ofisi za biashara katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huku uchunguzi ukiendelea kuhusu mauaji ya Sharif, imebainika kuwa gari linalodaiwa kuibiwa ambalo polisi walikuwa wakilifuata ni Mercedes Benz Sprinter van namba za usajili KDJ 700F huku...
0 Reactions
2 Replies
701 Views
Katika taarifa yake Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff. Mwandishi huyo alipigwa risasi kichwani baada maafisa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Naendelea kuifuatilia Siasa za Kenya ilu nijiridhishe kama Wapinzani wa Tanzania walikuwa sahihi kumuunga mkono Dr Ruto J3 Ubarikiwe sana!
1 Reactions
4 Replies
690 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…