Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Walikuwa sehemu ya Kikosi Maalumu cha Upelelezi ambacho kilivunjwa na Rais William Ruto kwa madai ya kutekeleza mauaji ya kiholela na kutoweka kwa washukiwa kwa miaka kadhaa. Miongoni mwa...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
If you're ready to be in charge of your own destiny, but don’t have the capital to buy a franchise or open up a storefront, consider starting an online business. When your store is online, you can...
1 Reactions
2 Replies
861 Views
JAMAA za Mkenya mmoja anayezuiliwa katika gereza la Amerika la Guantanamo Bay nchini Cuba, imeomba serikali iwasaidie kumrejesha nyumbani mpendwa wao baada ya wakili Bw Miguna Miguna kurudi...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
President William Ruto has gazetted three vacancies available at the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC); Chairperson and two other commissioners. This follows lapse of the...
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Facts: Kenya is roughly half the size of TZ and is mostly semi-arid. TZ definitely has more than twice Kenya's land under crop production. 1) Crop Production Tanzania is big on low-value...
4 Reactions
193 Replies
20K Views
WIMBI la mashabiki wa soka kutoka Mombasa nchini Kenya wameendelea kumiminika Bongo, Tanzania kushuhudia mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga ambayo imekua gumzo humu hapa Afrika...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakili Miguna Miguna amewasili kutoka uhamishoni nchini Canada alipokuwa uhamishoni kuanzia Mwaka 2018 baada ya Maafisa wa Serikali kudai kuwa Wakili huyo Mwenye Uraia Pacha (Kenya na Canada)...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Magari ambazo wenzetu hawajawahi kusikia zinakuja Kenya. Grenadier nj British car ambayo inauzwa South Africa pekee sasa itafungua dealership Kenya. British car Grenadier enters Kenya market...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wizara ya Afya imethibitisha visa 61 vya Ugonjwa wa Kipindupindu vilivyorekodiwa katika Kaunti 6, huku Visa 31 vikiripotiwa Katika Kaunti ya Kiambuu pekee kufuatia Sherehe ya Harusi Kaimu...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Grace Kuria Wasichana 85 wa Kenya wamepoteza maisha katika muda wa siku 90 zilizopita, na takriban 1,000 kurejeshwa makwao, hasa kutoka Saudi Arabia. Haya yalibainishwa na mteule wa Kenya katika...
2 Reactions
11 Replies
907 Views
Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanasema hawatarusha ndege kufuatia mizozo ya muda mrefu kati ya muungano wao na usimamizi wa shirika hilo. Marubani hao walidai kuwa madai yao...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto amemshutumu Mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta kwa kusabaisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama, ambao alisema alihitaji muda kurekebisha, huku akianzisha mipango ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakika KATIBA ya KENYA ni Moja ya KATIBA BORA sana AFRIKA.Upatikanaji wa Viongozi Wao ni wa UWAZI sana kila Mwananchi ANAJUA kwani Wananchi wanaruhusiwa Kutoa Taarifa zao kwa Vyombo MAALUM ikiwemo...
5 Reactions
5 Replies
711 Views
Hakuna "Hustler" bali wakenya wameingizwa mkenge! Hii inatokana na nilichokiona na kuwasikia mawaziri wateule wa Serikali ya Ruto, mbele ya kamati ya bunge inayohusika na uthibitisho wa mawaziri...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni baada ya Rais William Ruto hivi karibuni kusema Maafisa wa (SSU) wanahusika na mauaji na kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha. Wamewekwa chini ya ulinzi na kuhojiwa kwa saa 48...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I have done an analysis of the winners from the 2022 world Travel Awards: Source: https://www.worldtravelawards.com/winners/2022/africa Its either Kenya is punching above its weight with 26...
2 Reactions
5 Replies
637 Views
Jana Ruto alisema wazi kwamba ameagiza kikosi kazi cha Police kivunjwa kwa kile alichosema kilihusika kwenye kuteka na kuua watu. Kwanini kimevunjwa? Kumekuwa na tuhuma kwamba polisi wamekuwa...
2 Reactions
1 Replies
845 Views
Bunge la Kenya leo Oktoba 17, 2022 linapitia wasifu wa Mawaziri walioteuliwa na Rais Ruto na kisha kuwaidhinisha katika nafasi hizi. Katiba ya Kenya inaagiza nafasi mbalimbali za Uongozi ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…