Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa...
Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao
Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani
Njia sahihi nafikiri ingekuwa...
Msichana Afa Maji Akiogelea Kwenye Swimming Pool Huku Akijirekodi Live Kwenye Facebook
Hellen Wendy raia wa Kenya na nesi kwa taaluma aliyekua akiishi nchini Canada amefariki dunia jana kwenye...
Watoto wawili Wafariki, Watu 18 Wamelazwa Hospitalini Baada ya Kula asali pori.Huko Tharaka
Watoto wawili wamefariki baada ya kula asali ya mwituni katika kaunti ya Tharaka Nithi.
Tukio hilo...
Je,, ni kweli IGP anaumwa?
Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi?
Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
Wafahamu majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Kenya
Iwapo Raila Odinga atawasilisha kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi, itasikilizwa na majaji wa Mahakama ya Juu zaidi
Zoezi la uchaguzi nchini Kenya...
Huu ni utabiri wangu kuhusu kitakachotokea ndani ya wiki mbili hizi huko Kenya.
Ni kuwa Raila ameona hakuna namna yoyote anaweza kuwa Rais wa Kenya na ukizingatia umri wake anaona kama anaenda...
Onyo hilo linatokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iliyobaini kuwa takriban 50% ya sampuli za Maziwa zilizokusanywa kutoka kaunti za Nakuru, Laikipia na...
Why should Sylvia Mulinge be rejected as Vodacom's Managing Director
Towards our agenda 2025, interests for Tanzania should come ahead of anything as far as regional strategic decisions are...
Kuna watu na mataifa yanayoizunguka Kenya wanapenda sana kujijaza upepo na kujifariji ili mambo yanavyofanyika na hali za nchini mwao yaonekane mazuri.
Siasa na Ukabila
Siasa za Kenya sio za...
Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu...
My Question; why black people all over the world associate themselves to "Socialist parties and not Capitalist parties?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, anayedaiwa kumuua kwa Risasi Brian Olunga amekanusha mashtaka hayo huku Wakili wake Nathan Tororei akiomba aachiliwe kwa dhamana
Upande wa mashtaka umeomba...
Chanzo: Mwananchi
Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya...
Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye...
Guys Is there any election Raila has ever accepted defeat? 1997 2007 2013 2017 and now 2022 are all shambolic and rigged according to him.
.
He chased Kivuitu, Isaac Hassan, Chiloba and now he is...
Balozi wa Uingereza nchini humo, Jane Marriott amekanusha madai yaliyoenea katika mitandao ya kijamii kwamba aliishinikiza Tume ya Uchaguzi kumtangaza William Ruto kuwa Rais mteule licha ya...