Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
-awe ameokoka -popote pale Tanzania, -sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu. -elimu kuanzia form 6 hadi masters. -awe ameajiriwa au hajaariwa its OK -watoto wa wachungaji watapewa kipaombele...
4 Reactions
242 Replies
15K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema Natafuta mume; 1. Awe mkristu 2. Awe ana degree na kuendelea 3. Awe mwajiriwa au amejiajiri 4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea Kwa upande wangu, mimi ni...
4 Reactions
66 Replies
16K Views
KW jin naitw jumer nip Dodoma ninaumri wa miak 21 natafut wa din yoyt ile awe wa rang yoyt ile pia awe na umri kuanzia miak18-28 asiwe mnen awe mwembab na mweny Shep nzur awe natabia nzr2 anichek...
1 Reactions
0 Replies
455 Views
Habarini za kazi wana JamiiForums, Bila kupoteza muda naomba kutiririka moja kwa moja, hoja yangu iliyopelekea kuandaa uzi huu. Kwanza nianze kwa kusema nawapenda sana tena toka moyoni...
2 Reactions
72 Replies
5K Views
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Baada ya kuchoka usingle mother nimeona is not funny nahitaji mume jamani. 08/09 natimiza 29, kimo f 5.5 primary teacher, mtoto mmoja, am black beauty, mcheshi na vurugu nyinginyingi ha ha haaa...
24 Reactions
92 Replies
10K Views
Wadau wote wa JF natumai ni wazima wa afya, Binafsi kila mtu anayo malengo yake aliyojiwekea na muda wa kuyatimiza. Malengo yangu yametimia na sasa nahitaji mke ili kujenga familia imara yenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Kitengo cha LoveConnect? Nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni Bachelor degree, mimeajiriwa Serikalini. Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo Awe na umri wa miaka 26...
0 Reactions
5 Replies
919 Views
Kama inavosomeka hapo juu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunatafta but hatupati Jaman mwenyez gundu gani hili
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za muda huu kaka, dada na wadogo zangu? Najiokeza kwenu leo nikiwa serious na hitaji langu likiwa serious pia. Natafuta/nahitaji mwanamke/msichana ambaye hajawahi fika au kufikishwa...
1 Reactions
48 Replies
13K Views
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28. Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira. Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu. Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Najaribu kama muda wa BAN umeisha.
3 Reactions
0 Replies
1K Views
ALHAMDULILLAH NIMEMPATA NILIYEKUWA NAMTAFUTA NAYE AMENIPATA SITAFUTI TENA MKE WAPENDWA, NIMEFUNGA UKURASA
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia, natafuta mume mcha Mungu hata awe doctor au yeyote. Mimi najihusisha na mambo ya kisheria, mimi ni mchaga mrefu saizi ya kati, umri wangu ni miaka...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Hodi Jamvini, jamani mwenzenu niko hoi,pamoja na kashfa,visa na matukio ya hapa na pale kuhusu Wema Sepetu,mwenzenu binti huyu ananitia wazimu,sijui nielezee vipi,lakini naamini mnanielewa,nadhani...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Inawezekana kupata mke kwa social media kweli
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Habari JF, Nimeamua kujitokeza hadharani kuongeza kasi ya utafutaji. Nahitaji kuoa na kuanza kulea familia. Mtakaonikejeli mbarikiwe, hatukuumbwa sawa wote, pia tunatofautiana malezi na fursa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…