Nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba awe anajielewa, ana hofu ya Mungu, elimu kuanza kidato cha sita na kuendelea, awe mrefu kiasi, kwa dini awe mkristo.
Kwa maelazo zaidi tuwasiliane kwa no...
Mi ni binti natafuta mwanaume atakayekuja kuwa mume na baba watoto wetu tutakaopata.
Awe mkristo mi pia ni mkristo.
Awe na urefu na fut 6.
Awe kazi ya kutunza familia.
Umri 32-38.
Asipende sifa...
Nashindwa kuwaelewa Wasichana wa sasa kila msichana nikimuaidi kuwa ntamuoa ahamini hii inatokana na nn au wasichana wa sasa awana tena ndoto za kuolewa?????[[emoji27] [emoji27] [emoji27]...
Am 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,
mwanaume atakayekuja
awe 33+...
Habarini wanajukwaa,
Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani...
Mimi ni msichana wa 25yrs,ninaishi na vvu.ninasoma hivi sasa ninaingia mwaka wa mwisho,nina mwili kiasi urefu kiasi,mweupe kiasi,mkristo.ninatafuta mwanaume mwenye hali kama yangu,mkirsto age btn...
Jamani mimi ni mwanaume, nahitaji mke umri wangu miaka 33, mimi ni mfanyabiashara hapa jijini Mwanza.
Nataka nikimbie ukapera nahitaji kuwa na familia sasa. Mwanamke ninae muhitaji awe na mvuto...
Salaam JF,
Mimi ni mwanaume 30 years mfanyakazi sekta binafsi.
Ninatafuta rafiki wa kike ili baadae Mungu akipenda awe mama watoto wangu.
Umri awe above 25. Awe anaishi mikoa ya Songwe, Iringa...
Naomba kuwasilisha hoja yangu kwenu,
Natafuta mwanamke ambae baadae Mungu akipenda awe mke wangu, mimi umri wangu ni miaka 30.
Naishi Dar es Salaam, ni muajiriwa wa private sector, mwanamke...
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia.
Awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe...
Jaman naitaji Mchumba wa Kike vigezo awe na umri 19&21 asiwe M mbulu, Mrangi wala Mnyaturu awe anajieshimu, awe mcha Mungu kama yupo anifatee kuleee PM nipo sirias kabisa
Jina kamili ni Abdulkadir Bin Hassan,
Naishi Tanga,
Kazi yangu ni Tour guide,
Nina miaka 20,
Nahitaji mpenzi serious nahitaji mwanamke anae jitambua kutokana na umri wangu nimeona ni jambo jema...
Natafuta rafiki wa kike (girlfriend) wa kubadilishana naye fikra na uzoefu wa mambo mbalimbali.
Wasifu Wangu
Mfupi kiasi, 5'5 ft, Maji ya kunde
Umri,miaka 28
Ni mkristo
Nina kazi
Napendelea...
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.
Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu...
Kama kichwa kilivyo,
Kwa mtu timamu hakuna asiyejua hilo ni jukwaa la mlengo gani. Lakini cha kushangaza anatuma mtu post ya kusaka mchumba kama jukwaa linavyotaka,
mtu anaanza kumtukana mleta...
Naishi Dar ni kijana/boy mwenye umri wa miaka 22 natafuta/nahitaji girlfriend mwenye age kati ya 20-21 awe musilum pia awe ni mkazi wa Dar karibu PM kama utakuwa uko tayari mengine yatafuata.
Bint wa kiislam mwenye nia ya kuolewa...awe ana uelewa wa dini ya kiislam vizuri. AMUOGOPE ALLAH.
Swala awe ana swali.
Stara na ajiheshimu.
Awe hajawahi olewa.
Awe hajazaa.
Asiwe na historia...