Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hbr wadau, Mimi ni kijana wa miaka 30, mhitimu wa chuo kikuu na nimejiriwa ofisi moja hapa Dsm. Natafuta binti wa kuoa... Muhimu : awe msabato / ajiandae kubadili dini kua msabato. Sifa za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Im 27,ninahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa,,awe tayari kunipenda,,sifa zangu,urefu mrefu wastani,maji ya kunde,kipato cha kawaida tu and nafanya kazi serikalini,,,,,natafuta mke aliye tayari...
0 Reactions
5 Replies
784 Views
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimetoka kumaliza chuo kikuu kimojawapo hapa DSM, kwasasa nafanya shughuli zangu binafsi ambazo zinaendana na fani niliyosomea chuoni...
0 Reactions
8 Replies
998 Views
Mimi ni mama ninaetafuta mwenza wa kuishi nae. Mimi ni mfanyabiashara na mkulima. Nina elimu ya chuo. Ni mcha Mungu. Natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati. Sichagui dini,kabila,elimu etc...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha barua hapo juu, Sifa za mke. -Umri miaka 26-30 -Maji ya kunde au mweupe -Elimu kuanzia diploma -Ajue kupika -Mwenye msambwanda atafikiliwa zaidi Sifa zangu. - Miaka 32 -...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Edward Niko dar umri 28, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae kwa atakaekuwa tyr anitafute kwa namba hii 0746802325. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Nahitaji mrembo mweusi mwenye mvuto ili awe mpnz na baadae awe mke.dini awe muislam lkn kabila lolote. Atakaekua tayari anicheki watsaap--0752924807. NO JOKES AM SIRIOUS Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa wa MMU, Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata...
5 Reactions
112 Replies
7K Views
Am a girl of 25 years of age searching for a single parent (i.e a man who has a child but not married) to be my husband. I am a christian by faith with a bachelor degree in education, not yet...
5 Reactions
128 Replies
12K Views
Wakuu habar zenu... Ombi langu ni kwa nyie mnao tafuta wachumba JF . Jamani weken picha..kama mtu mweny nia angalau akuone basi..sio kuweka masharti lukuki tu. Lengo ni kuondoa usumbufu , yaan mtu...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu awe na umri kuanzia miaka 22 mpaka 28 elimu kidato cha nne kuendelea dini mkristo aliye tayari...
1 Reactions
0 Replies
881 Views
Girl yyte aliyeko tengeru ani PM tule huu mshahara now Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Kama inavyojieleza ninahitaji muwekezaji makini awekeze pendo katika moyo wangu ili tupate faida pamoja, mimi ni me mfanyakazi niko Dar. Age early 30s. Yeye mfanyakazi awe mtu makini ambae...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jina langu Khalfani natafu mke wa kuoa kabisa umri 18 hadi 24 Vigezo awe muislam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wapendwa salamu nyingi sana. Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi wa kutwa nzima ya leo. Jamani mwenzenu safari yangu bado sijafanikiwa kupata mke japo hivyo pls kwa wadada ambao mpo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta mume mchamungu...miaka 25 hadi 45 buhahah...sichagui dini...hivi mnakumbuka mlivyotunyanyasa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Anahitajika mke mwenye elimu ya degree na kuendelea aliyetayari kuanzisha familia na awe mcha Mungu wa dini ya kiislam,umri miaka 23-25,umri wang ni miaka 32 ni mtumish wa uma kwa aliye serious...
0 Reactions
4 Replies
806 Views
Wadau habari ya Siku ya Leo.. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni Kijana kati ya miaka 27 na 30. Naishi mwanza mjini mjini. Wilaya ya ilemela. Nahitaji mpenzi wa kike kwa ajiri ya...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Wadau nahitaji kuoa sasa. Umri umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji kuanzisha familia. Nina 28 yrs naomba mdada aliye tayari na serious ani Pm. Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Natafuta jimama kuanzia umri wa miaka 30-65 awe anajiheshimu na mstaarabu alie tayari ani Pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…