Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Age should be between 18-26. Mengine tuongee PM. Thank you.
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Naitwa Paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wa kuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayari kuoa. Tafadhali hii ni muhusika...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
8 Replies
886 Views
Am edith aged 25 i'm a teacher natafuta mume umri miaka 30 to 40.
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nasikitishwa sana Na watu wanaokuja humu Na kushangaa.wanaosaka wachumba humu. Leo napenda kuwatia moyo wote wanaokatishwa tamaa Na watu wachache. Maneno yao Ni kama 'hivi umekosa...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Wandugu, nimejitokeza kumtafuta mchumba (mke) humu JF ili tuyaenzi maisha na kutekeleza maandiko ya mwenyezi Mungu. wasifu wangu ni;- mweusi, mrefu almost futi 6 na point kadhaa Nimeelimika and...
1 Reactions
4 Replies
884 Views
Do u sometimes miss ur virgin breaker? Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume. Nina umri wa miaka 21 Ninatafuta rafiki wa kike[16~19] ambaye tutakuwa tunashirikiana na kubadilishana mambo mbalimbali hasa masomo kwa ujumla.Tutakuwa tuna wasiliana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye miaka 29 sijawahi kuwa na mchumba wala sijawahi fanya mapenzi natafuta binti awe mpenzi wangu baadae nioe awe na miaka 18-24 kabila lolote Dino yoyote...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa. Asiwe...
18 Reactions
215 Replies
40K Views
Umri 22-25 elimu ya Sekondari na kuendelea umbile awe mrefu, mweupe na umbo la wastani mwenye 'wowowo' Kabila Mchaga, Msukuma au Mmasai. Niko Dar es saalam ni Mkristo, umri wangu miaka 35...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za majukumu wapendwa,mimi nipo Dodoma natafuta marafiki wa kike waliopo Dodoma kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kusaidiana mambo ya kike kama ambavyo mnajua wanawake tunapenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke umri miaka 40.. Nina watoto..nahitaji kampani ya mwanaume alie single... Ambae aliachwa na mke au alifiwa, au aliacha mwanamke kwa sababu isiyoweza kuvumilika..awe...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
JINA LANGU: ANNA RUGEMALILA UMRI: MIAKA 30 KABILA: MUHAYA ELIMU:CHUO DINI:YOYOTE KAZI: MUAJIRIWA KIPATO:CHA CHINI/KAWAIDA MAKAZI: MWANZA KIMO:WASTANI SIFA ZA NIMTAKAE KABILA: LOLOTE KIMO...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za jioni wandugu Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari wana Love connect, Nina miaka 25, single mother wa mtoto mmoja, nahitaji mpenzi baadae awe mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi Dar...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo ila awe mbeya maana na mm niko mbeya,asiwe mlevi pls. Mi ni mwanaume nna miaka 39, kama uko interested ni pm pls, kama haikuhusu we pita kimyakimya.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo, sex sometime kama ikitokea kila mmoja kavutiwa na mwezie uwe umeoa or hujaoa vyote sawa just a friend uhuru wa kuwasiliana utazingatiwa Ila wawe na...
4 Reactions
72 Replies
7K Views
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Wasalaam Alekyum! , Shalom! na Amani Ya Bwana! Iwe Nanyi Nyote wana JF-Love Connect. Kwanza kabisa katika uzi huu nataka kuandika kwa kiswahili fasaha kabisa ili kila kiumbe kitambaacho katika...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…