Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habarini ndugu zangu, kaka na dada zangu. Kiuhalisia leo naandika huku nikiwa nimejawa huzuni, majonzi na sononeko kubwa sana moyoni. Nikitizama umri wangu kwa kweli umeenda na mpaka sasa...
12 Reactions
83 Replies
9K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30,nahitaji smart girl 20-25yrs ambaye baadaye atakuwa mke, sijatahiri lakini niko bukoba
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari kwa wanajukwaa wa LOVE CONNECT, Nina uhitaji mkubwa sana wa mchumba. Sio mchumba tu, aje kuwa wife so msaada wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 22, rangi ya Obama, ni mjasiriamali...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mkulima pia ni mjasiliamali. Nashukuru mungu hapa nilipo fika ninauwezo wa kuhudumia familia. Mimi ni mkristo nahitaji kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mm ni mkaka wa miaka 35,natafuta. Mke, awe mrefu, mweupe, miaka 29 had 32,
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za sikukuu ndugu zangu wakuu Hope Bila Shaka mko poa na ujenzi wa taifa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo mimi ni kijana wa miaka 29 ninatafuta mwenza ambaye baadae awe mke wangu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Silvester Niko dar umri miaka 27, natafuta mpenzi au mchumba awe na miaka 18-27 atokee dar, Awe na umbo namba 8 mrefu kidogo na mfupi kidogo mwelewa na mkweli. Namba yangu ya simu ni 0714002998.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia...
12 Reactions
122 Replies
15K Views
Hi, As the heading above concern, I am looking for a beautiful lady who is aged not above 28 years old,Christian,chocolate colour,businesswoman or employed,female figure and tall/moderate...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Hi I've just been divorced after almost three years of separation and now I'm searching for that special someone for building a relationship that may lead to getting married, I will be 50 yrs old...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Naitwa Richard age 27yrs naishi Dar maeneo ya Tabata, natafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa kuja mke na mama wa familia awe mkazi wa Dar es Salaam. -Dini yeyote -Elimu yeyote -Umri usizidi 26...
1 Reactions
4 Replies
928 Views
Nimepitia Uzi kadhaa humu kwenye jukwaa ila nadhani kuna kitu kinakosewa na wanaotangaza kutafuta wachumba au wenzi humu. Mtu anatoa vigezo vya anayemhitaji ila anasahau kuwa genuine characters ni...
0 Reactions
4 Replies
870 Views
Habari wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu. -Mimi ni kijana wa kiume, mwajiriwa private sector, sijawahi oa wala kuwa na mtoto, umefika mda nimeamua niwe na mwenza atakayekuja...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Rafiki later wife anahitajika Awe mkristo, umri 22-26!! Elimu astashahada-stashahada. Awe muajiriwa au amejisjir. Asiwe mnene au Mwembamba saizi Ya Kati.. Rangi YA maji YA kunde.. Urefu...
0 Reactions
5 Replies
666 Views
Wasalaam! Kutokana Na malalamiko mengi mengi ya mahusiano Nimegundua ya kwamba matatizo mengi yanatokana Na wanaume. Kwanza kabisa Ni kutojali kwao pia Na kuwachukulia wanawake kama vyombo vya...
7 Reactions
60 Replies
5K Views
wazee sitafuti mtu,kama kuna raia anataka nimpunguzie mademu zangu ajitokeze wamenizidi mpaka wengine nawasahau majina
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Oops! stop what you thinking! Am not singing P. Diddy's hit song 'I need a girl' , but am seriously in need with one. If you have checked out my previous posts you would have noticed that this is...
4 Reactions
102 Replies
7K Views
natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kimaisha kama uko tayali nicheki 0745900148.
0 Reactions
4 Replies
833 Views
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye...
13 Reactions
425 Replies
29K Views
Mm kijana 27 yrs, kwa Mahusiano ya KImapenzi & friend with Benefits (FWB) tu! Uwe HIV neg... Uwe na Good hygene... Nipo SUMBAWANGA walipo huku watapewa Kipaumbele Zaidi
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…