Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za...
Sijui ni stress za maisha umeshaambiwa hapa ni LOVE Connect mtu anatoka alikotoka anaanza kuwakosoa wanaosaka wachumba Mara wawakejeli sasa umefungua page hii ya nini kama huna positive...
Re: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila...
Kuna huyu Binti n rafiki angu sana, ni rafiki wa kawaida tu. Ila amekuwa akinifanyia vitu kama mpenzi wake vile. Yan ananijali kuliko hata mpenz wangu. Yeye ana mpenz wake pia. Kila muda lazima...
Habari za wakati ndugu zangu,
Ninapenda kuomba msichana urefu wa cm 160, mweupe kidogo, mcha Mungu, elimu form six na kuendelea, bikira. Mnyenyekevu, kabila lolote, asiye na hasira mbaya; asiye...
Hodi wanaJF,
Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya...
Watu wenye masihara wamevamia jukwaa hili,unakuta MTU ameweka post ya kutafuta mpenzi kumbe hayuko serious,anataka aone tu wangapi watampaparikia! hasa wasichana na wanawake ndo wenye tabia hizi...
Mimi ni mvulana wa miaka 27 nafanyia kazi serikalini nikiwa kama afisa msafirishaji, natafuta mwenza niishi naye awe dini yeyote. Aliyetayari namkaribisha.mawasiliano.ukimbile@yahoo.com
Habari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama watoto ni sawa, wasizidi...
Msichana anayetaka kuolewa anicheki 0677287265 na miaka 25 . kabila lolote dini yeyote umri miaka mwisho 24 .mim ni mtumixh wa kuajiliwa ktk sekta flani kama upo serious piga namba hiyo
Habari zenu wanajamvi...!!!
Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..;
1:Awe na miaka 18 na...
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza...
Wasalaam wanajf!
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutafuta marafiki,wachumba na wenza mitandaoni kila kukicha. Hivyo ni vyema tukakumbushana mambo mbalimbali yanayojitokeza kabla,wakati na baada ya...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe...