1 Nina miaka 31
2 Mjasiria mali
3 Mwanamke awe na umri wa kuanzia 21hadi 27
4 Mkristo
5 Mwenye maadili ya kiafrika kwa ufupi awe na tabia njema
6 Asiwe na mtoto
7 Asiwe mtumiaji wa mikorogo yani...
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Mimi ni msichana ni mwalimu niko Shyinyanga natafuta mchuba umri miak32_38 awe mkristo, am serious sipendi dharau wala kebehi, Mungu awabariki, mwenye nia ani PM.
Habar wana JF Natafuta girl alie na shida kama yang i mean natafuta mchumba miaka at least awe na 18=>23....
Mimi nina umri wa miaka 22 nina kaz inayoniingizia kipato alie tayar ani PM ni hayo 2.
Hello everyone, I am a woman who is looking for someone to start a friendship with a guy which could lead to other things. I am 31, I have 1 child. I have a PhD. I am down to earth and easy going...
Habari zenu wana JF,
Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.
WASIFU WANGU
Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu...
Habari zenu wadau,
Nipo Tanga ni mfanyakazi.natafuta rafiki wa kike baadae aje kuwa mke .
Umri wangu ni 35
Dini mkristo
Sifa za ninaye mtaka.
Mweusi
Mrefu kiasi
Awe mchapakazi na mbunifu hata kama...
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 32,ni mwalim kwa tauuluma elim yangu ni degree moja.Mwanamke awe mwislam akiwa din nyingne akubali kubadlisha din, Elim yake isiwe chin ya kdato cha nne na...
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na...
Habarini za jioni hii wana jamii Forum. Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye, kushauriana mambo ya maisha, pamoja na kubadilishana mawazo, sifa awe anaishi Mwanza, umri chini ya miaka 23. Mimi...
Habari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni...
Hello, hope mko poa wana JF,
Am looking for girl friend who is residing here in Dar. Age should be btn 25 and 30 inclusive, Christian na awe angalau mrembo wa kawaida na awe mrefu.
Personally...
Hello wana JF,
Naitwa Salehe Jafary natafuta mke mwema wa kuanza nae maisha, elimu, dini sichagui ili mradi awe mwenyeji au anapenda kuishi Mwanza, Simiyu. Umri miaka 19 hadi 25.
Aliyetayari...
Habarini za asubuhi wandugu,
Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.
Mwanaume ninayemtaka awe na age at least...
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.
JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo...
Awe msichana wa miaka 18-24, awe msomi walau kuanzia kidato cha sita, mcha Mungu na mwembamba,maji ya kunde au mweupe, na Mwenye mapenzi ya kweli na Mwenye mtazamo chanya wa maendeleo. Mi ni...
habari wakuu
mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wenye mapenzi ya kweli awe kamaliza kidato cha nne au darasa la saba mimi ni mjasiriamali kipato cha ni cha kawaida tu mwanamke ninaye mtaka...
Natumai mu wazima wanafamilia wa JF,
Nipo apa kuandika Uzi huu kwaajili ya kumtafuta rafiki wa kike, atakaekuwa mpenz wangu, mchumba na baaadae tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja kama
mume na...