Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mwembamba mrefu maji ya kunde naishi Dar na nimeajiriwa serikalini, nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi; Awe muislamu wa ukweli awe na umbo zuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina miaka 40 msomi nimerudi hivi aribuni toka masomoni ng'ambo. Natafuta msichana amabaye yupo tayari kwa mahusiano yenye mwelekeo wa ndoa. Sijali rangi au mwonekano ajali internal beuty. Aliye...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hi Wanabodi, Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli. Hii hapa jionee mwenyewe.
3 Reactions
86 Replies
59K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka. maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Hello members..I am 32 years old in Arusha..looking for a girl friend to chat and exchange ideas. If interested please check in my PM plz
0 Reactions
5 Replies
915 Views
Nina miaka 29, elimu yangu degree ni muajiriwa wa taasisi flani nahitaji mwanamke wa kuoa vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne atleast awe mwenye matokeo mazuri ili iwe rahisi kumuendeleza...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Dada...take...position....nataka ....ke wa kukuoa,siyo mchepuko...aw tayari kuish Mkoa wa Songwe.0757658783.
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi. Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua...
52 Reactions
354 Replies
39K Views
Instead of looking at your connection as relationship, try to view it as partnership. Partnership will lead you to a whole new level. * Wale waliojiunga JF tangu 2006 - 2011 Tujadili*
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mambo,mambo vipi!? kichwa cha habari nadhani kipo clear,natafuta mwanamke wa kuoa kwa mkataba,mkataba ni renewable baada ya mwaka,probation time ni miezi sita ndani ya hiyo miezi awe na uhakika wa...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Vigezo: Umri si chini ya 30 Mkristo Kwa alie serious PM me!
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wana JF, Husika na kichwa cha habari, Natafuta friends went sifa kama hizi; SIFA Umri- 27 up to 32 Dini - Muslim Elimu - degree na kuendelea Awe amejiari / kuajiriwa Mambo mengine...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimefikia uamuzi wa kutafuta binti mwenye shida ya kuolewa. Mimi nahitaji nioe na naamini jf nitapata atakayetamani kuishi na mimi. Nimesoma ndio maana nategemea kupata aliyepita shule. Mtaani ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mda huu wana JF? Najitokeza hapa nikiwa na dhamira ya kutafuta rafiki wa kike/mpenzi, ambaye tutaoana na kuwa mke na mume. Mimi ni mwajiriwa wa serikali, elimu yangu ni ya Chuo kikuu...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Mimi ni mwanaume, sijaoa. Umri miaka 29. Natafuta mwanamke wa kuchat nae na kubadilishana mawazo. Kama upo ni pm
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, we shall...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Natumai mko poa sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwambia nimependa kuwashirikisha katika hili jambo la kutafuta mwanamke humu ndani ambaye atakuwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini za Jioni wanna if! Hope wote mkoa poa. Nisiwachoshe kama heading inavyosomeka kulingana na mipango yangu niliyo nayo siku za usoni ninatafuta female friends with ze following...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…