Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Bila hiana napenda kuleta mrejesho ila kuthihirisha tabia ya mtume mwema! Ni takribani mwaka sasa baada ya kupitisha mabango yapatayo mawili kutangaza kumsaka mwenzangu nisiye mjua kwa kudhani...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Ulimwengu wa mapenzi ni waajabu sana.Ni wenye furaha unapopenda ukapendwa lakini pia ni wenye karaha na maumivu pale unapopenda usipopendwa.Moyo hukosa raha,pia unakosa maamuzi yaliyosahihi yote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hlw,for your will PM me......
0 Reactions
5 Replies
1K Views
sifa za huyo mume sifa za mume - miaka kuanzia 39 -55 -mfanyabiashara au mfanyakazi -mkristo mcha mungu -anaishi dar -elimu kidato cha...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Habari, Mimi ni kijana Mtanzania,mbena wa Iringa. Natafuta mwanamke asiyezidi umri wa miaka 31 lakini ambaye hana uwezo wa kuzaa(tasa) mimi tayari nina watoto wawili na kwa bahati mbaya siishi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ewe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na...
0 Reactions
172 Replies
19K Views
Nina miaka 25, Muajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Mkristo mcha mungu. Niko mbeya. Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35. Elimu kuanzia form six, Mwajiriwa au aliyejiajiri, Mkristo...
1 Reactions
101 Replies
15K Views
TAHADHALI:Niko serious so, usilete mzaha hasa kwenye PM!
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Sifa 1. Elimu angalau form 6 2. Umri usizidi 27 3. Usiwe mfupi sana 4. Dini yoyote Mimi: Mrefu, Mweusi, Bachelor degree holder, Nina company, Nyumba tatu Mbezi beach, Hotel Moja, Hummer 1...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Hakika nitakueshim daima
0 Reactions
1 Replies
824 Views
habari zenu wana JF? hakika hakuna jukwaa tamu kama hili,ukiwa JF unakuwa dunia nyingine on the other hand,jamani nataka ajitokeze mwanamke mrembo mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 35...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naitwa Mwl Kimambo nafundisha Moshi secondary nimekua nikipata tabu kweeli kwene suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga natamani kuoa Mwakani Akiwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Namwitaj xana rafki wa kike. umr miaka 17 had 25 ' Awe na uwezo wa kunipa ushaur kuhusu life yangu-
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mim nina miaka 24,nina ishi dar,ni mrefu kias,pia nimjasiriamali,natafuta msichana mwenye umr kuanzia miaka 18-25 awe ana ishi dar'.Tafadhal ni PM tupeane contact
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari nina miaka 27. Ni mhasibu. Natafuta mke awe ameajiriwa selikarini
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta marafiki wa kike na kiume
1 Reactions
13 Replies
2K Views
hi wapendwa, mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24. Nimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka 2013 chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). sasa nimefanikiwa kupata kazi NSSF Dodoma kama assistant...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI NAHITAJI MWANAMKE MSTAARABU TUWE TUNAKUTANA NAE FARAGHA SIKU ZA JMOSI MCHANA TU.KWA ALIYE TAYARI KARIBU.KAMA HUHUSIKI PITA KIMYA.SHUKRAAAAAN:A S wink:
0 Reactions
7 Replies
1K Views
natafuta mchumba seriously guyz...anicheck knye 0719165399
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom