Jaman habari zenu Wana JF,
Naitwa France jina halisi mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu ni miaka 26 ni mrefu wastani na ni mwembamba wastan rangi Yangu ni majikunde naishi Dar maeneo ya...
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mnyaturu, maji ya kunde, nimehitimu degree in mining engineering. Namtafuta wa ubavu wangu awe mnyaturu,maji kunde, awe angalau mwl grade au diploma, umri...
Natafuta mchumba ambaye Mungu akijalia tuishi pamoja hapo baadae.
Sifa zake...
1. Dini - mkristo
2. Kabila - lolote
2. Umbile - Hasiwe mfupi sana wala mnene sana.
3. Umri - hasizidi 27
4...
I am very good looking man, i am 6ft tall, average body bulder, free from diseases, kind, loyal, charming and educated, i am not rich or loaded with cash, but i am a hard worker and i dont believe...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,ninatafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa,sina ubaguzi wowote ule na nipo Serious juu ya suala ili,yule mwanamke aliyekuwa tayari kuingia ktk maisha ya Ndoa...
Mimi ni mvulana
Nna miaka 31, mkristo(RC),
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna watoto wawili
Sifa:
Awe na umri kati ya 25-28
Awe mkristo
Awe...
Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo Dar, natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 27-37 mnene kiasi, mwenye kujishughulisha na anayeish i Dar.
Hii ni kwa ajili ya kupeana raha, mwenye nia...
pole na kazi na mfungo wa ramadhan wana jf,mim ni kijana ambae tem iliyopita niliutupia uzi mkali wa kusaka mchumba,ila nimejikuta kujilaumu kwa hlo kwani mchumba niliempata ananipa wakati mgumu...
Sifa za ninayemtafuta umri 20-25, atleast post secondary education, umbo lolote ila asiwe mnene sana (bonge), sura ya kuvutia kiasi, tabia njema, asiye na mtoto na awe tayari kuchek afya, awe...
Baada ya upweke wa muda mrf kwangu,nimejikuta kumpa mpenz wa roho yangu,today nimeamua kumurusha live wana jf mmjue,anaitwa seniorita precious,nashukuru sana jf kwan kupitia nyie nimempata mchumba...
natafuta rafiki wa kike mwenye asili ya pwani, yaani Tanga, mombasa, au zanzibar.....asiwe na umri zaidi ya miaka 22 anitumie email yake kwa mawasiliano zaidi
Kwa jina naitwa abel j,ni mkazi wa iringa,nina miaka 25,nimechoka kuwa peke angu kwa muda mrf sasa nataka niupate ubavu wangu,namtafuta mwanamke wa kawaida sana kimaisha,mpole,mkristo,mwenye...
MTOTO ni sexy na yuko hot kinyama na anatishia amani kwa uzuri baanaa asikwambia mtu. Hiki kitu kinakwenda kwa jina la Zenah Juma, ni bonge la toto lililowahi kushiriki kuwania taji la Miss...
Habari zenu ndugu!?..
Natafuta marafiki/rafiki jinsia yoyote iwe wakike au wakiume na mwenyeji/mkazi wa Zanzibar. Nimekuwa na hobbies za kibiashara na utalii kuhusu Zanziber pia sifa za mji na...
I need girlfriend mm nipo dar,umri wangu miaka 21 nnaemtaka umri kuanzia miaka 18-24 kwa mawasiliano 0656899091 au khaleedshaban@gmail.com,asanteni sana
Mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu miaka 28 elimu yangu diploma nimeajiliwa, ninahitaji msichana mwenye elimu kuanzia diploma kuendelea awe anaishi Dar.
Awe ameajiliwa au kujiajili umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.