Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wakuu Salaam. Baada ya kuanzisha Uzi wa kutafta mwanamke ambaye anaweza kupga jembe(kulima) nimekosa hata mmoja wa kuja PM. Sasa imenibdi nibadlishe vigezo sahivi natafta mwanamke yoyote...
8 Reactions
14 Replies
759 Views
Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Habari wana Jamii forum..mm nipo serious naitaji mchumba kilema hasa awe hana miguu au masikio Nimetokea kuwa na wanawake kadhaa ila saizi nawapenda na navutiwa na vilema Can yangu 1...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Sina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar SIFA ZANGU White Tall ft 5'5 Kibonge wastani self employed...
22 Reactions
144 Replies
6K Views
Habari, kama mnavyojua ili familia iitwe familia lazima ikamilike yaani baba na mama na watoto Mimi ni mama wa miaka 29, elimu degree, nimeajiriwa na pia nimejiajiri, nina mtoto moja wa kiume...
26 Reactions
46 Replies
6K Views
Mwanamke naye muhitaji naomba awe na sifa hizi. 1. Umri miaka 22 mpaka 28 2. Mcha Mungu 3. Awe ameajiriwa serikalini / sekta binafsi au mjasiriamali. 4. Kabila lolote 5. Dini yoyote (hapa...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
SIFA ZANGU Mwanaume mrefu Fut 5.6, Mweupe, Macho ya Brown, Mfanya Biashara Tanga Mjini, Nipo ( SINGLE ). SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE. Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa, Dini yoyote, Awe Tanga /...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae: Muislam Kuanzaia miaka 34 na kuendelea Mrefu wastani Mstaraabu na mcheshi Ukiwa na watoto sawa Aijue dini kiasi *Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Bado naamini kupitia kwenye hili jukwaa naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema. Miaka yangu 33 Nimeajiliwa kwenye wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani. Muajiriwa serikalini. Mimi ni...
2 Reactions
1 Replies
561 Views
Mimi ni kijana wa miaka 27 - 33. (hatua ya kujitambua na kuwa mwanaume kutoka mvulana) Nimeajiriwa katika sekta binafsi. Ajira ya kimkataba. Naishi Dar es salaam ila ni mwenyeji wa Mbeya...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Nahitaji mke mwenye miaka kuanzia 34 hadi 37, akiwa na watoto wasizidi wawili, awe muajiriwa serikalini au binafsi, mweupe, akiwa kajaa itapendeza, kabila si muhimu sana, dini akiwa mkristo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi ni kijjana wa umri wa miaka 29 nina elimu ya stashada ya nyuki natafuta mke wa kufunga nae ndoa SIFA ZANGU Mrefu kiasi Umbo la wastani Mweusi Mkristo SIFA ZA NIMTAKAYE Umri 20-27...
1 Reactions
1 Replies
436 Views
Salamu Kwa wote, Mimi ni kijana umri 30. Nafanya kazi migodini, nina mwili wa kawaida. Nahitaji mwanamke umri usizidi miaka 29. Dini awe Cristian. Kabila lolote aliye tayari karibu pm.
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Miaka yangu ni 28 Naishi mkoa wa Iringa Kazi yangu kwa sasa ni machinga Natafuta mke wa kuoa Miaka 22-25 Asiwe na mtoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya...
6 Reactions
7 Replies
717 Views
Habarii Wana JF Natafuta mume Nina umri miaka 26 Mkristo Mjasiriamali Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa. Awe mkristo Asiwe ameoa Umri anizidi kuanzia 28...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha Sifa ya mwanaume anayehitajika. 1) Awe na kitambi, ila sio...
16 Reactions
810 Replies
36K Views
Habari za majukumu Ndugu zangu, Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi cha nyuma uzi wa namna hii ulikuwepo hapa jukwaani, mimi ni miongoni mwa wanajf nilioufaidi uzi ule Sasa nimeonelea niurejeshe tena maana haupo humu Kutongozana kiutu uzima...
9 Reactions
189 Replies
14K Views
Mimi ni kijana wa kiume umri yapata miaka 30 sasa. Mimi si mtumiaji sana wa Jamii forum ila nilijiunga kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali. Lakini mwaka huu nimebahatika kupata ajira serikalini...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Habari za muda huu wanajf, natafuta mpenzi jinsi ke mimi ni jinsia me awe na sifa zifuatazo 1.Awe mrefu kiasi 2.Umri kuanzia 23-27 3.Dini awe muislam 4.Awe anapatikana Morogoro 5.Asiwe na mtoto...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…