mimi ni mgeni dar.natafuta rafiki wa kike wa karibu.awe ni mrefu,mvumilivu,na wa kusema ukweli.yaani sio mwongo.nitumIe pm tujuane.serious ladies only.
Wadada wengi hawajielewi, na mara nyingi hudhani kuwa akipewa zawadi ama outings na mwanaume basi anamtaka ama anajipendekeza.
Wakati mwingine sio ni vile tu ntu anakuwa anahitaji kupata mawazo...
Mume anahitajika awe ni mpweke na mwenye nia ya kuwa na mwenzi wa kufarijiana. awe mkirstu anamuogopa mungu na msomi mwenye kazi yake. Kwa maelezo kuhusu mimi na umri wangu na watoto wangapi nilio...
Natafuta mke wa kuoa kuanzia miaka 21-24,awe mkiristo,sijali kama ameajiriwa au la..kikubwa ajitambue na asiwe mtu wa skendo,makabila yote ila kasoro pande za kaskazini..Umri wangu miaka 26..kama...
kama title inavyoonyesha,natafuta girlfriend mwenye vigezo vifuatavyo;
Asiwe mrefu wala mfupi,size ya kati
awe mweupe
mwembamba ila sio saanaa,ila awe na shape. yaani kuanzia mgongo,chuchu...
Mimi ni kijana mtanzania. Nina miaka 29. I have a college education. Am dark brown in color, 170cm tall, 62kg, charming, scientific oriented, i like cycling, hiking, beaching...i don't like...
Leo July 30 ni siku ya kimataifa ya marafiki duniani.
Nami kama mwanajukwaa napenda kutumia fursa hii ya kipekee na ya kihistoria kufikisha haja ya moyo wangu ulio mpweke kwamba nahitaji rafiki...
Ndugu zangu kuna mwanamke aliolewa katika umri mdogo na jamaa saizi ya baba yake na akafunga ndoa kanisani(pentecoste), ndani ya mwaka mmoja na nusu ndoa ikavunjika baada ya binti kujifungua na...
wajameni nakuja dar wiki hii nlipenda nipate mwenyeji pande hizo. awe mtoto wa kike uzuri sijalishi cha msingi awe anajielewa katika hizi kitu sio kuleta habari za watu wa darasa la saba
Habari zenu wadau.
Mimi ni kijana wa kiume,miaka 28 ninaishi Dodoma!Elimu yangu ni Degree,,dini yangu mkristo.kabila langu msukuma!Natafuta mchumba mwenye miaka 22 hadi 24.awe anaishi...
Ninahitaji mwenza bado sijapata kwa alie tayari anipm. Nipo single mother nina mtoto mmoja 9yrs ambae hatajali tuanze mahusiano. Ninafanya kazi. Please kejeli sio busara i am serios
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,Mkristo,Elimu chuo kikuuu natafuta msichana ambaye tukielewana anaweza kuwa mke wangu kipenzi.Vigezo Mkristo,miaka 20-26,mweupe,mfupi na elimu kuanzia kidato cha...
Kwanza, nawapongezeni kwa juhudi zenu ktk kutafuta maisha bora na ujenzi wa taifa letu. Pili, mimi ni kijana wa kiume (miaka 26). Furaha yangu ni kumpata rafiki wa kike anaeishi mwanza, mara au...
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat na kubadilishana mawazo, kushare ideas etc...
Umri wangu ni miaka 27 na elimu yangu ni shahada ya kwanza...
kama upo tayari ni Pm...
sio lazima kuchangia hapa...