Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara. Sifa zangu Umri-37 Dini -Mkristu Kaz-mfanyabiashara wa mazao Kimo-mrefu...
1 Reactions
2 Replies
578 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 37, Kibaha, Pwani, ni mwajiriwa sekta binafsi, ninamkaribisha mwanamke mwenye uhitaji kama mimi wa kuunda familia ani PM tuchati.
2 Reactions
2 Replies
993 Views
Asalam aleykum Nimekuwa single kwa mda mrefu nimeona sasa ni muda sahihi kuwa na familia Sihitaji Mtu wa kusumbuana nae tena Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia mwenye uhitaji navigezo...
28 Reactions
132 Replies
6K Views
Natafuta mwanamke wa kuwa naye kimaisha, vigezo awe MNENE, Umri 30 kushuka chini, mimi nipo Moshi. Niko very serious. Kama upo basi karibu DM
2 Reactions
10 Replies
774 Views
Habari wanakundi, Mimi ni binti wa miaka 29, naishi dar. Mimi ni wakawaida kabisa, Mrefu kiasi, Maji ya kunde, Mkristo(SDA) Sijasoma sana, Asili yangu ni kanda ya ziwa, NATAMANI NIKUTANE NA...
6 Reactions
13 Replies
952 Views
Umri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo Awe amezaa watoto wasiozidi 2.
4 Reactions
159 Replies
5K Views
Wanajamvi, wasalaam! Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. HUYO MWANAMKE LAZIMA awe: (A) -Askari polisi, au Uhamiaji, -Askari JWTz, -Daktari wa binadamu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za wakati, kama mada inavyo jieleza. Mimi ni baba wa Kiislam, mwenye miaka 38, nina mke na watoto watatu. Natafuta mwanamke mjane wa Kiislam, anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Umri wangu: 31 Kuishi: Dar es Salaam Kazi: Engineer mgodini Dini: Muislam, nimehifadhi juzuu 1, nasoma quran, pia swala 5. Sifa za Mke Umri: 18-25 Color: Chocolate au mweupe Lugha: Awe mwenye...
5 Reactions
77 Replies
4K Views
  • Closed
37 yrs male looking for a wife, she should be between 20 - 33 years old, with no child, Christian, with at least first degree. Added advantage for the 1) one with her own income, 2) Kagera tribes...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari za wakati huu.... Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, elimu yangu nimesoma mpaka chuo nilisomea mambo ya business administration ila sijaajiriwa bali nimejiajiri mwenyewe (mfanyabiara). Sifa zangu; ~ Mweupe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana, Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu. Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
  • Closed
Niaje katika jukwaa hili… Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu. Vigezo: Awe single (Mgane/ Mtalaka) Awe Mkristo (Msabato atapewa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Wanajamvi, wasalaam! Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. Huyo mwanamke LAZIMA awe: (A) -Askari polisi, au Uhamiaji, -Askari JWTz, -Daktari wa binadamu...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Niko single kwa miaka 36, sijapata mtu mwenye vigezo vifuatavyo; Mume - Alieokoka - Umri kuazia 37-40 - Mweye mtoto 1 au 2, asiyetaka kuwa na mtoto tena au Ambaye ana nguvu za kiume lakini mbegu...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanajamii, salaam! Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri. Mimi ni mwanaume, -miaka 38 -rangi chocolate -mkristu Ninahitaji la...
0 Reactions
10 Replies
848 Views
Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri. Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga. Sifa zangu Age 23 Elimu: bado nipo chuo Rangi: black, Dini: mkristo Vigezo, Age 20-25 Elimu, sio issue...
1 Reactions
0 Replies
680 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…