Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
............
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike mwenye umri wa kuanzia 22-28 yrs.awe mwenye elimu ya chuo,awe mfanyakazi, mkristo na mwenye mapenzi ya mungu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
LOOKING FO A LIFETIME PATNER(HUSBAND). Name: Mpweke wise Age: 29 Occupation: businesswoman/enterpreneur Education: Bsc, Msc Religion: Christian (RC) Height: 170cm Hobbies: computerising...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
nina umri wa miaka 21 n mwanaume nahitaji mpenz amby cku za uson awe mama wa watoto wangu umr awe miaka 20 had 18
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf: Katika jukwaa hili la love connect naamini kwa walio timamu wanaelewe dhumuni ya hili jukwaa. Lakini mtindo na tabia ya baadhi ya member wa humu Jf kufungua ID na kuanzisha...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
wapendwa samahani,,hii mada kuna mtu aliirusha bila ya mimi kujua,,hivyo naomba tusameheane kwa mambo kama haya,,tafadhali
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nashukuru kwa wote walio changia thread yangu hii. Walio ni PM na kunishauri. Kwa sasa nimempata mwenzangu ambaye amenifanya nilifute ombi langu kwa dhana kubwa ya kumuheshimu na kuweka uaminifu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,mm nina miaka 43,awe mkweli na muwaza na awe mwanamke anaeitaji mume wa maisha.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 20 Napenda sana kuchat, natafuta mpenzi na marafiki wakike walioko Bukoba mjini tu kwa sababu za kuonana nae! Awe na sifa zifuatazo >elim kidato cha tatu na kuendelea juu...
0 Reactions
47 Replies
15K Views
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Am boy aged 25,graduated from moshi university college with DIPLOMA OF COOPERATIVE MGT AND ACCOUNTING,recenty am pursuing BACHELOR OF BANKING AND FINANCE at IFM;Am tall,white weight abt 68...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nipo Dar ni mwanaume,muhitimu wa chuo 2011(degrii ya 1 ya bank and finance),umri wangu 28 na ninafanya kazi,napenda kuogelea hasa beach,muziki,kusafiri Sent from my BlackBerry 9700 using...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Natafuta msichana wa kumuoa umri kati ya miaka 20-25, awe mkristo mcha mungu,awe serious,na sio magumashii namba 0766351063
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nadhani eti inaweza fika kipindi ikawa sasa kama unatafuta mke au mume, unaruhusu watu watume CV kama unapo omba kazi,then CV zinapitiwa na mnaitwa kwenye usaili na atakae kidhi...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Pls PM me and i will link you with Smart and intelligent narusha kama alivyotamka sikunji neno. age not above 33years old not too tall no too short, I mean the lady who you wont be tired...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
habari zenu. mie natafuta marafiki wa kike ikiwezekana nipate galfrend. nipo morogoro umri ni 27
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafta mke wa kuoa. SIFA .Mweupe .Urefu kuanzia ft 5-6 .Asiwe mnene sana .Mkristo .Elimu kuanzia kidato cha 6 .Awe wa Mbeya au Iringa. MIMI ELIMU YANGU NI SHAHADA YA KWANZA YA UWALIMU.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau hapa jf nadhani ni wazima. Mimi ni mvulana wa miaka 28. Dini christian(rc). Nimeajiriwa mkoani. Natafuta msichana wa kumuoa, awe na vigezo vifuatavyo: 1. Awe na umri wa kati ya miaka 20-27...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mke mwema anae jituma n mwenye kutambua wajibu wake vyema ktk ndoa na mwenye heshima na hadhi ndie anae hitajika umri 20 mpaka 24 mawsiliano 0752842099 lazima awe mkristo au awe tayari kubadil din
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mimi ni mtu wa makamo, nina miaka 32, natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuwa mke wangu wa pili. ambaye anaona anaweza akaribie. siangalii umri, dini, rangi wala kabila. nitajibu atakaeni-pm...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…