Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wana JF Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au...
2 Reactions
8 Replies
889 Views
Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo. Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya...
6 Reactions
87 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha. Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa...
4 Reactions
5 Replies
755 Views
Naitwa Jumanne Nina umri wa miaka 29 Mkazi wa Ifakara morogoro, Kwa Sasa napatikana Mwanza kikazi. Ni mrefu kiasi. Mweusi kiasi. Sio mnene. Nahitaji Mwanamke aliye tayar Kwa ajili ya kuanzisha...
6 Reactions
3 Replies
598 Views
Habari za majukumu, Nimewah Kupost hapa kutafuta Mwenza lakini bado sijapata na naendelea kuwa mpweke wa mahusiano. Mimi ni mwanaume wa miaka 35, mferu kiasi sio mnene sio mwembamba, nafanya...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Nina umri wa 28 years Niko Mwanza Najishughulisha na ujasiriamali. Nahitaji Mwanamke wa kufanya naye maisha pamoja, kwa mambo mengine tuwasiliane PM iko wazi.
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Wasalaam wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima. Awali ya yote mimi ni kijana wakiume natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35, dini yoyote na kabila lolote ambao tunaweza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
5 Reactions
50 Replies
2K Views
  • Closed
Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima...
11 Reactions
69 Replies
2K Views
Habari, Mimi naishi Songea, najishughulisha na ufundi, nimekuja mbele yenu nahitaji mke wa kuoa ambaye ameamua sasa kutulia na familia. Awe single mother, asizidi mtoto mmoja. Nahitaji single...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume) Sifa zangu; Jinsia- mwanamke Dini-mkristo Umri-30+ yrs Elimu-Degree moja Mtoto-Mmoja 10 yrs Ajira-Niko private sector Ninayemuhitaji awe...
11 Reactions
155 Replies
6K Views
Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo. Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo; Awe...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kijana wa kiume, umri 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, niko single, najishughulisha na ufundi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-34, awe anajishughulisha na shughuli yoyote halali, asiwe na mtoto...
1 Reactions
7 Replies
506 Views
  • Closed
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume. SIFA NILIZO NAZO.👇 Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara. SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇...
14 Reactions
215 Replies
8K Views
Jina langu phoibe, ni Mtumishi wa umma. Sijawahi kuolewa na sina mtoto. Nahitaji rafiki wa kiume kuanzia miaka 36 -48. Sitaki urafiki na mume wa mtu please, ukijijua una mke usini dm. Jumapili...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
~ Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29. Jinsia mwanaume ~ Ni muajiriwa Kampuni binafsi. ~ Kwa sasa niko Mwanza kikazi. ~ Natafuta mchumba umri kuanzia 18-27. ~ Kwa aliye tayari anakaribishwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa habari zenu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji...
12 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari, Natafuta mrembo tuanze safari kuelekea uchumba na tuyajenge vizuri kuelekea ndoa. Sifa zangu; Umri 27 Kazi: Nimeajiriwa Mkoa: Arusha Elimu: Degree Dini: Roman Catholic Mwanamke...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
I'm innocent 40 miaka One child WITH HIV+ I don't have a wife I'm Christian I love God too much Natafuta mwanamke yuko na VIH + Mature, love to pray Love work Love God Mwanamke mrembo Mungu...
2 Reactions
5 Replies
753 Views
  • Closed
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu, Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na...
53 Reactions
675 Replies
43K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…