Nina umri wa Mika 30, jinsia yangu nimvulana. Nina elimu ngazi ya diploma, naishi Dar, ni mweusi angavu.
NATAFUTA mpenzi mwenye vigezo; Awe na uelewa wa kujitambua, awe mtu wakujishughulisha...
Natafuta mchumba kike awe tajiri.
Sifa zangu;
1. Mimi ni black kidogo.
2. Elimu yangu certificate ya Tehama.
3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel...
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa...
Mimi bado nikijana, nina miaka 25
elimu yangu ni darasa la saba
ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi
miaka 18/24,
Awe na hofu ya mungu...
Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu...
Habari! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta rafiki wa kike ambaye tutaoana kabisa.
Sifa:
Sichagui rangi cha msingi awe Mtanzania
Awe mrefu Kuanzia 5 feet tall
Sichagui kabila...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40, naishi Dodoma kwa sasa, kazi mjasiliamali, elimu kidato cha sita. Nnahitani mwanamke mwema mwenye umri miaka 24 hadi 32.
Elimu kuanzia kidato cha nne...
Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi...
Hello! Samahanini jaman mie naitwa ade am single and ntafurah sana kama ntampata ❤️my oxygen*... apa.
By the way;
naishi Dar es salaam,
Umri wangu n miaka 24,
Nina mtoto mmoja ila Bad luck baba...
Mimi ni kijana wa miaka 32;
~ Urefu 170 cm.
~ Kabila mchaga.
~ Elimu Shahada.
~ Single father.
~ Mfanyabiashara.
Mke awe na sifa;
~ Elimu kuanzia form 6.
~ Miaka mwisho 27.
~ Awe maji ya kunde.
Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi.
Nahitaji mwenzi ambaye kadri...
Wakuu wasalaaam,
Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu.
Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja.
Umri wangu ni 38.
Kwa taarifa zaidi karibu sana...
Hello! Good morning everyone, my name is Dorcass, age 30 years, single, I don't have kids.
I am looking for serious man later to be my husband. I need a person who loves himself and fear of God...
~ Uwe mtu mzima zaidi ya miaka 40 hadi 45.
~ Uwe tayari kwa familia.
~ Usiwe mlokole au msabato.
~ Uwe na kipato yaani uwe unajishughulisha.
~ Usiwe ushawai kuoa/kuolewa / ushawai kufunga ndoa...
Je, wewe ni mwanamke mrembo na siyo msichana. Umri wako unaanzia Miaka 31+, unatokea familia ya wacha Mungu? Una elimu ya wastani? Unajishughulisha kujiingizia kipato? Upo tayari kuishi nje ya...
Habari za wikiend wana Jf.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa...
Nina miaka 28, nimemaliza advanced level, nina urefu(5' 3''), nina mwili wa kawaida, rangi yangu ni mweusi kidogo (sijui ndo maji kunde), nimejiajiri (-).
MWANAMKE
1. Urefu anizidi kidogo...
Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi cm 173
Rangi- Mweusi.
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu-...