Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wana jf, Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu. Awe na akili...
23 Reactions
155 Replies
7K Views
Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25. Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa...
1 Reactions
5 Replies
934 Views
1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar. 2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT. 3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia. 4. Napenda kufurahi, kujifunza...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume Sifa zangu Umri miaka 28 nipo mbeya Elimu degree Mtumishi wa umma Mrefu Maji ya kunde Naitaji mwenza wa kuwa nae kimahusiano na baadae awe mke wangu wa ndoa Sifa za...
1 Reactions
6 Replies
534 Views
Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja. Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa...
0 Reactions
7 Replies
845 Views
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke. Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bado sijapata wakuu
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Mimi kijana mwenye umri wa miaka 26 Nimejiajiri, nina biashara inayoniingizia kipato kila siku Rangi - Maji ya kunde Urefu - Kawaida, siyo mrefu sana wala siyo mfupi Sifa za ninaemuhitaji, awe...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Habari WanaJF Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia. Awe na miaka 33 na kuendelea na awe...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu. 1. Awe ana hofu ya Mungu. 2. Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD). 3. Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato. 4. Awe na...
1 Reactions
4 Replies
610 Views
Umri wangu 36, naitaji mwanamke ambaye tukiridhiana tuishi pamoja. Awe anaishi nyanda za juu Kusini, umri kuanzia miaka 28 mpaka 38. Sina vigezo vingi, asante.
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba. Sifa kuu za mchumba ninayemtafuta; 1) Awe muislamu. 2) Awe serious. 3) Asizid miaka 35. Mimi sasa sifa zangu; 1) Kwasasa najishughulisha na biashara. 2)...
0 Reactions
9 Replies
851 Views
Mimi kijana Umri 38, elimu kidato cha nne, rangi maji ya kunde, mwembamba, Kaz mjasiriamali. Nahitaji mwanamke wa kuoa umri 27-30, asiwe na mtoto, elimu awe kidato cha nne na kuendelea, dini awe...
2 Reactions
20 Replies
998 Views
Habari Mim ni mwanamke Umri wangu ni miaka 27 Makazi yangu ni Dodoma Nafanya kazi Natafuta mwenza mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 40 Awe ni mkristo Awe anaishi dodoma Awe na stable source of...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi ni kijana 30 years, nna kazi, ni mkristo, mweusi, mrefu natafta mwanamke/mchumba/mke....awe na sifa:- -mkristo/awe tayar kubadili dini kuwa mkristo kama yeye sio mkristi -umri uwe hauzidi...
1 Reactions
3 Replies
912 Views
Ndugu zangu waislamu nimeamua kurudi huku tena ili kuweza kufunga mwaka vizur binafsi natafuta mke wa kiislamu asizidi miaka 35 mengine tutajadiliana Mimi ni kijana wa kiislamu ninaependa uislamu...
2 Reactions
2 Replies
385 Views
Nina miaka 38 Muajiriwa Ninatafuta mwanamke wa kuoa, sharti awe mrangi, umri 20 Hadi 28, dini yoyote, elimu yoyote.
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua. Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu, naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu. Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu. WASIFU...
4 Reactions
71 Replies
13K Views
Mimi ni kijana umri 37, dini ni Rc. Niko mwanza natafuta mke wa kuishi naye umri 22 mpaka 30, awe mrefu kidogo mwenye chura, sichagui dini wa kabila. Asinipende sana bali aipende sana ndoa yake🙏.
1 Reactions
4 Replies
619 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…