God over Everything
Also God please give them hope patients and prisoners and to him nothing Imposssible.
I'm 26 years old
Muslim
God fearing person
Self-esteem
Hard worker
Government servant...
Ni mume Nina Mke na Watoto.
Natafuta MTU wa kuchepuka naye weekend tu. Na siku Moja ya kazi.
Awe dini yoyote, taifa lolote, rangi na Umri usizidi miaka 30. Asiwe mlevi wa kupindukia, awe...
Habari zenu, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye, najihisi mpweke...
Habari wana JF,
Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar.
Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi...
Long story short:
I am 34 yrs of age
Tall
Living & Working in Dsm
Born in Dsm
Bachelor degree
Never married
Christian (Not much devoted)
A kind of a lady am looking forward to be my love...
Natafuta mwanamke, msafi msiri, asiwe mke wa mtu, ili nispendi nae kwa wiki 2, kila kitu kwa gharama zangu. asiwe malaya anayejiuza, asiwe mlevi wa kupindukia, awe anayejitambua, akiwa...
Habari za wakati huu mimi ni kijana wa kiume, Mkristo.. kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ... Nahitaji marafiki wa kike
vigezo
Awe mkazi wa Moshi au Arusha mjini, umri kuanzia miaka 18-26...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.
Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and...
Hbr za leo Wana jforum!!
Natafuta mke,awe
Elimu;diploma and above
Umri:miaka 34 au chini
Dini.mkristo
Kabila: lolote
Nb akiwa na watoto au mgumba ni sifa nyongeza!!
Sifa zangu
Mi Nina watoto...
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:
Nahitaji mwanamke ambaye mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo pm kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu...
Unapoleta tangazo kusema unatafuta mume au mke mkristo jitahidi uwe specific kwani sasa hivi ukristo una madhehebu mengi, mfano
ORTHODOX
ROMAN CATHOLIC
LUTHERAN
ANGLICAN
PENTECOSTE
HUDUMA ZA...
Nipo dar kimakazi na mtu mzima ninayejielewa kimaisha na kifamilia na natafuta mwenza anayejielewa na asizidi umri was miaka 55t tuwasiliane kwa namba 0784355760
Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo
Napenda...
Jina: Aruun Mwanamilongo
Kabila: Mnyamwezi
Dini: Mkristo
Shughuli zangu: Mwalimu na Mfanyabiashara
Makazi: Dar es Salaam
Umri wangu: 35
Martial status: Single
Sifa za mwanamke: Umri wowote ule...
Habari, nahitaji Mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 19 hadi 27 wa kuwa nae kwenye mahusiano serious yenye manufaa baadae. Kwa mengine mengi zaidi tutaelezana inbox. Karibu
Ndio, namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu, narudia kusema mwenye akili timamu.
Umri kuanzia miaka 22 mpaka 30. Mimi mwenye mi pia nipo kwenye hiyo miaka. Awe Dar es Salaam
Kingine...