Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mwanamke 1. Mimi ni Me 2. Umri wangu 32 3. Elimu ninayo 4. Tall & black hivi 5. Ninakazi ya kuniingizia kipato Ninaye mtafuta awe 1. Mwanamke mstahalabu mkristo 2. Umri 17 hadi 30 3...
1 Reactions
10 Replies
852 Views
  • Closed
Hi, Kuna memba fulani amenitia moyo, kwamba inawezekana, ngoja nijaribu tena kwa mara ya mwisho. Mimi ni mwanamke nina miaka 29 Naishi DSM Elimu certificate Mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuo...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari ya sikukuu ndugu zangu? Nimekuja hapa nahitaji mwenza, mm ni mwanaume umri wangu 36yrs Dini yangu mkristo Naishi Mbalizi Mbeya Kazi nimejiajiri mwenyewe Mke nimtakae umri 25yrs to 30yrs...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: *Awe muislamu Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 23 mpaka 26 Elimu yeyote aliyonayo Asiwe na mtoto Sifa zangu: *Muislamu Nina umri...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamii! Mimi ni mzee wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuzaa naye awe na miaka 30 hadi 45, na awe ameshajaribu kutafuta ukashindwa pengine umeenda hata Ulaya ili ukapandikize mimba lkn...
1 Reactions
3 Replies
881 Views
Nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe. Mimi Nina miaka 32 Mjasiriamali Mkazi wa Dar es salaam. Mkristo Mnene kiasi,maji ya kunde...
0 Reactions
11 Replies
945 Views
Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia Awe mrembo wa sura Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 28 Elimu ya chuo na kuendelea Asiwe na...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia Vigezo serious awe handsome wa kiasi . Awe 32 -40 Awe hajawahi kupata mtoto kokote. Awe anafanya kazi kaajiriwa . Elimu...
13 Reactions
96 Replies
8K Views
Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni: SIFA ZANGU: Urefu: Ni mrefu wa wastani Umbo: sio mnene wala sio mwembamba...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari za muda huu wana jf Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama...
45 Reactions
307 Replies
22K Views
Natafuta mchumba,mwanamke wa miaka 35 - 40 awe mrefu kuanzia futi 5,asiwe anajichubua,Mimi ni mweusi mrefu miaka 45.Awe tayari kupima ukimwi bila shuruti,awe dini yoyote.
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Mbona wanawake wana lalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu? Chukuweni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Awe 40 to 50 Christian Awe anaishi Ubungo au Kinondoni Awe tayari kuishi pamoja Mimi mwanamke mtu mzima 40 yrs No kids Christian Naishi Ubungo
14 Reactions
98 Replies
7K Views
I'm a 28 years beautiful lady from Dar es salaam,not married and i dont have kids yet.Am seriously looking for a man with that age or above to have an amazing relationship with.Please hit my PM if...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Greetings to You on JF I'm a single male aged 34 years. Tanzanian by nationality. Born and raised outside of Tanzania. Been here for 10 years now. Looking to meet a single lady willing to start a...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wasalaam Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Natafuta mke/mume Madhaifu yangu ________________ Hasira za karibu Sipendelei ujinga Nimeachika (uchumba/ndoa) mara nne Nachukia uongo Nina kinyongo Mchoyo kidogo N.k Mazuri yangu...
5 Reactions
4 Replies
472 Views
Deleted
1 Reactions
9 Replies
872 Views
Sifa zangu. Umri: 26 Elimu: Nna degree Rangi: Chocolate Kimo: Wastani, mwembamba Kazi: mwajiriwa sector binafsi Dini Christian Sifa za ninaemtaka Umri: 26 kuendelea Elimu: awe amesoma Rangi...
15 Reactions
59 Replies
5K Views
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na...
17 Reactions
220 Replies
79K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…