Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wana JF. Niko hapa kutafuta mwenza. Mimi ni nwanamke. Im in my early 30's ,mkristo nina mtoto mmoja. Itapendeza kumpata mkristo pia na umri kuanzia miaka 34, na uwe na kipato...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari za muda huu matumaini yangu nyote ni wazima wa afya, SIFA ZA MWANAUME LIJALI NA MUOAJI KAZI : Mini ni kijana Mchapakazi nimejiajili kwanye sekta Binafsi UMRI : 30 MAKAZI ...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
WASIFU 1.Umri miaka 27 2.Elimu Diploma 3.Dini mkristo 4.Rangi mweusi 5.Kimo wastani Sifa za ninae mwitaji awe mke 1.Umri 20-26 2..Elimu kuanzia form 4 na kuendelea 3.Dini awe mkristo 4.Awe na...
1 Reactions
8 Replies
911 Views
Mimi Ni kijana mwenye umri 38 Ni muhajiliwa natafuta mke mwenye umri unaostaili ndoa uwe mkubwa uwe wa makamo na uwe umeajiliwa au umejiajili kwa mazungumzo zaid njoo inbox
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina miaka 32, Nimeajiliwa na serikali, Sifa za mwenza. Awe mkristo. Awe na nia thabiti ya kuolewa. Awe na umri wa miaka 24-29. Kuwa na mtoto sio tatizo. Awe anatokea mkoa Ruvuma/Lindi, /Mtwara/...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Kuna demu mmoja huwa namtumia kwa ajili ya kujiridhisha coz nina mke yuko mbali na mkoa ninaoishi sasa leo genye zimenishika haswa nikaona nimtafute akaniambia njoo lkn simuamin bc kufika tu...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimewahi kuweka tangazo humu miaka minne iliyopitaa la kutafuta mke ila kabla ya kufanya maamuzi nilipata mtu ambae tulikuwa na mahusiano zamani kidogo. Malengo yalikua ndoa Ila tabia zake...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu, Natumia nyote mnaendelea vizuri kabisa Kama nilivo andika katika kichwa Cha habari kuwa natafuta Mke Wa kuoa aliye siriasi na ambaye yuko tayari kuanza mahusiano ya ndoa...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
  • Closed
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile. Wasifu wangu. Nina mtoto mmoja Umri 35 Kazi ni mwajiliwa serikalini Mzaliwa nyanda za juu kusini...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Upande wangu Mwanaume Umri 30 Dini muislamu Nimeajiriwa Mwenza: Awe na umri kati ya 23 hadi 30 Awe muislam Awepo Dar es salaam Kuwa na watoto au kutokuwa nae tutajadiliana.
3 Reactions
2 Replies
755 Views
Mhhhhhhhh
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Assalam alleykum warahmatullah wabarakatuh za muda huu ndugu zangu katika Imaan Naam mimi ni kijana wa miaka 27 inshaalah mwezi ujao naongeza umri pia ninaishi Daresalam, Tanzania nilikua...
1 Reactions
1 Replies
462 Views
Mimi ni kijana wa 28 black elimu diploma nimejiajiri dini Muslim Kama dini inavyo sema kuwa ndoa ni utimilifu wa dini nami sinabudi kutafuta mke Sifa za mke ninae muitaji awe Muslim miaka...
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Natafuta marafiki wawe HIV positive, umri miaka 28- 35, elimu angalau form six ,mm ni msichana mtanzania nimegundua naishi na virusi vya ukimwi, nipo Kilimanjaro, ni mwajiriwa,nilimaliza kidato...
9 Reactions
21 Replies
16K Views
Sina usingizi natafuta marafiki wa kuchat nao Wanaume au wanawake walio single Age 40 to 100 Kwa week hii tu lakini Kama unaitaji ushauri wa maisha,biashara,kiroho,kimahusiano.niko free kusaidia 24/7
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari!, natafuta mke nipo Tanga. taarifa zangu kwa ufupi umri: 26yrs Dini: muislamu elimu: Degree Education(science) mrefu kidogo, maji ya kunde sifa za mke muislamu asizidi miaka 26 elimu...
3 Reactions
6 Replies
775 Views
Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari!, natafuta mke nipo Tanga. taarifa zangu kwa ufupi umri: 26yrs Dini: muislamu elimu: Degree Education(science) mrefu kidogo, maji ya kunde sifa za mke muislamu asizidi miaka 26 elimu...
2 Reactions
0 Replies
931 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mwenye nia ya dhati ya kuolewa sina vigezo ving ila kwa aliyetayarit uwasiliane inbox au atumie namb +255755772556
1 Reactions
0 Replies
541 Views
Wanawake wa siku hizi wamekuwa maji moto saana Kuna demu tulikuwa naye kwenye mausiiano 2017 mpaka 2019 demu aka niacha solemba kabisa niliumia sana nilibembeleza mtoto wa kike mtoto wa kike aka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…