Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV! Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana. Awe sura...
18 Reactions
441 Replies
90K Views
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito...
32 Reactions
361 Replies
43K Views
Habari!! KWA HESHIMA KUBWA NAPENDA KUWEKA MAOMBI YANGU HAPA KWA AJILI YA KUTAFUTA MKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NINA NIA YA DHATI NA UKWELI KUTOKA MOYONI NAITAJI MKE WA AINA HII...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habarini za asubuhi, Leo ikiwa ni siku ya saba tangu nianze nilikizo nimejikuta kumisi sana mwanamke maalum wa kumbembeleza na kumjali, kutania na kufurahi pamoja, wakua nae katika hali...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Natafuta msichana tukielewana na kuridhiana tunaoana, umri kuanzia miaka 22 - 30 dini mkristo mkatoliki ambaye hajazaa ila asiwe mhaya, elimu yoyote kama kaajiriwa au kajiajiri mwenyewe poa. Kama...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna mtakaodhani natania au mtanitukana. Lakini heri nitangaze nia ili uwezo wa siri nilionao unisaidie wakati huu ninapoendelea kutafuta ajira. Mimi ni Mtaalamu wa Massage & SPA, hoteli...
7 Reactions
290 Replies
25K Views
Sifa zangu-nina mtoto 1,mrefu sana nakaribia ft 6,mweusi,mfanyabiashara mdogo,miaka yangu 40, mkristo,elimu chuo. Sifa za mke Awe mkristo,rangi ya asili,miaka 30-40,elimu kuanzia kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
  • Closed
Mimi ni mwanamke miaka 39, naishi Mwanza na Elimu yangu ni Postgraduate nimeajiriwa. Sijawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye Forum kama hivi ila ni maisha. Wahenga walisema kosea...
16 Reactions
80 Replies
10K Views
Nmechoka na drama za mabinti wa mjini ndio maana nnataka Mwanamke mtu mzima sana umri kuanzia miaka 50 na kuendelea Uwe upo Dar Dini mkristo Uwe mkarimu na Mcheshi Uwe tayar kupima magonjwa yote...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni mtu wa umbo la wastani, niliyebahatika kuishi na mwanamke kijumba na kufanikiwa kupata watoto 2, nimebahatika kujenga nae kibanda na kuwa na kausafiri ka familia. Kwa visa vya mama huyu...
12 Reactions
85 Replies
14K Views
Naelekea kufanikiwa katika juhudi zangu za kuacha uzinzi na kufanikiwa kubaki njia kuu (alhamdu lillaah) Lakini kwakuwa dini yangu imeniruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, nikaona si vibaya kuongeza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wandugu. Mimi ni mkazi wa Dar maeneo ya Kigamboni. Natafuta mdada umri wowote wa kuishi naye kusaidiana kimaisha. Hatahusika suala la kodi. Naishi chumba kimoja. Masuala ya kula ni juu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahani Jamani ila nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni rafiki yangu,ila cha kushangaza biti...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarai wana jamii , kuna rafiki yangu , alinipa kazi ya kuwa mshenga ,( kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi wa binti) mm nikakubali nikaandika barua na ikapangwa siku ya kupeka, ilipofika cku ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Jina langu ni Gasper umri wangu ni miaka 33, natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto ,nitamtunza na kumtimizia mahitaji ya yote ya msingi anayo pata mwanamke.Umri wake uanzie miaka 27...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Dodoma mjini. Nina shahada ya kwanza ya ualimu ila sijabahatika kuajiriwa. Natafuta mwanamke wa kuishi naye maisha ya ndoa awe...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Any interested lady Pm.. Gentleman Pirate Umri: 28 Dini: muislamu,mkristo Sifa: mcheshi Kazi: askari Elimu: mhandisi Mkoa: Arusha,Manyara Mwanamke Anayejielewa na kujua anachofanya Umri wowote...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wanazengo... Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 Najishungulisha na biashara kwa sehemu kubwa ya maisha yangu, Natafuta mke, umri kuanzia 25 na kuendelea... Kabila siyo kikwazo kwangu...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa 31.muhitimu wa shahada ya fedha na bank pale chuo cha usimamizi wa fedha IFM miaka kadhaa iliyopita kwa sasa ni mwajiriwa wa tasisi moja ya fedha hapa mjini DSM.Nina...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…