Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wadau Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu. Mimi ni: Mwanamke umri 33-35 Mkristo Elimu ya chuo Mfanyakazi Mcha Mungu focused loving and caring...
7 Reactions
96 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania nina umri wa miaka 31, ninaishi Dar. Mimi ni mfanyabiashara.Ninatafuta mwanamke aliyeajiriwa au mfanyabiashara kama mm. Sibagui umri,dini wala kabila . Kwa aliye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mpole mcha Mungu, -ninaishi Arusha, -nina miaka 35, -ninafanya kazi na kampuni ya utalii....ninatafuta mke/mchumba awe na -miaka 21-30, -awe mweupeee, -asiwe mnene.... ntakuhudumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Wasalam. Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, Mimi ni Kijana wa kiume, Nahitaji Mwenza ambae Mungu akijalia aje kua mke wangu Vigezo 1. Umri miaka 18 mpaka 28 2. Elimu Kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Mimi ni >Nina miaka 27 >Mrefu kiasi 5‘6” (futi 5 na inchi 6) >Elimu kidato cha sita >Sina mtoto >Ni fundi muashi/uwashi >Mlongo wa kisiasa ni muafidhina >Dini ni muislam Mwanamke ninaemuhitaji...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nashukuru wadau, kwa sasa zoezi limesitishwa. First come First Served Asanteni sana. Muhusika anadeal na dada aliyejitokeza kwa sasa. Naomba niwe dalali/kuwadi leo. A good friend of...
0 Reactions
6 Replies
715 Views
Jamani naitaji Rafiki awe na chura mwenye Tabasamu,miaka kuanzia 25_30 Kama upotayari njoo tuanze Safari ya ndoa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
1. My name: Amiry Muzamelly. 2. Age:23. 3. Language: English,Arabic,Swahili. 4. Religion: Islam. 5. My color:Grainy black with gravity. 6. Work: Religious seeker. 7. Height:Tall Normal. 8. Child...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikiwa kama kijana mwenye umri wa miaka 35 mwenye kipato kizuri na kazi nzuri nahitaji mwanamke ambae yuko tayari tupate mtoto awe mweupe na umri mwisho miaka38 na mkazi wa dar pia awe na uwezo wa...
1 Reactions
8 Replies
966 Views
Mim ni kijana naishi hapa dar, nina mke na mtoto 1, natafuta dem wa kuwa nae ktk mahusiano awe dar na awe mzuri anae jipenda. tutakuwa ktk mahusiano na kumegana ni kawaida ila demu asiwe tegemezi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwamajina naitwa Nasibu nna age ya 26,elimu bachelor ya education pia ya dini ipo,natafta mwanamke wa kuoa ila awe navigezo vifwafavyo .muislam .mwenye kuipenda stara ama hijabu zakisheria .umri...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mm ni kijana aged 26 namtafta mwanamke ambaye kweli anahitaji kuolewa na na sio vinginevyo elimu sio kigezo. Mengine mengi tutaelezana PM maana hapa siwez kuweka wazi sifa zote. Karibu Pm angalau...
0 Reactions
8 Replies
997 Views
  • Closed
Wanajamii, nahitaji mpenzi mzungu - Awe single/divorced - mwenye umri kati ya miaka 28 hadi pungufu ya 50 -Mkristo Mimi ni msichana wa miaka 22 -single -Naishi Dar -Mkristo NB: sibagui rangi...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo, Nimefikia uamuzi wa kujiunga baada ya kuelezwa na jamaa yangu wa karibu ambaye ameweza kupata mwenza kupitia mtandao huu. Lengo langu ni kutafuta mwenza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitwa Joseph mwenye umri wa miaka 25, naishi Dar, ni mwajiriwa. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia 38-42, aliye tayari aniPM. NB: Nimeamua nikiwa na akili timamu.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema. Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Mada tajwa yahusika Natafuta mwenza Wasifu wangu Siku miingi nshamalizana na Elimu ya(wao wanaita ya juu)chuo Nimewahi kuajiriwa...nikaamua kukiajiri Sina mtoto Wala sijawahi kuwa na mke Ni...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wakuu. Upweke si kitu chema, nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na msichana fulani ila mambo yakaenda kombo. Alipata mwingine. Ikanikera sana ikaniumiza sana na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanaume mwenye upweke anakalibishwa/anae taka mke wa pili Sifa awe mwanaume kamili Umri 29-40 Maji ya kunde Asiwe mfupi Wala mrefu Anae jituma kimaendeleo na mchapa kazi Awe na uwezo wa...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
1. My name: Amiry Muzamelly. 2. Age:23. 3. Language: English,Arabic,Swahili. 4. Religion: Islam. 5. My color:Grainy black with gravity. 6. Work: Religious seeker. 7. Height:Tall Normal. 8. Child...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…