Nahitaji mwanamke ambae anajielewa wa kuanza nae urafiki hadi kuwa wachumba. Na siku za mbele tuweze kuwa wanandoa
Sifa zangu
Ni muislamu
Umri wangu 30
Ninaishi single
Sina mtoto
Sifa za...
Habari
Ni kijana wa miaka 27
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na...
Ukiwa mtu wa kuangalia mambo kwa juu juu basi kila kitu kwako kitakuwa kigumu. Kusoma unaweza kuona ni kugumu, kufanya kazi kugumu, hata kusubiri mshahara unaweza kuona ni kugumu.
Urahisi kwako...
-Miaka 34
-Mwajiliwa wa serikali
-Mzamili kielimu(Nimemaliza mwaka huu)
-Mkristo
-Situmii kilevi chochote
Mdada/Mwanamke
-Umri miaka 30-34
-Dini yoyote
-Kabila lolote
-Mfanyakazi/Asiye na kazi...
Salaam.wakuu Habari za Weekend Mkopoa Matumaninu Yangu Nashukuru
Naomba Kuuliza Au Kushare Hili Tujajadili Pamoja Huwenda Tukapata Hitimisho kwa Ushauri na Uchangiaji Mbali Mbalii.
Hivi...
Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Nikickek umuri wangu sasa naenda kugota 25 hivyo nahitaji mwenza wa kuwa naye maishan mwangu
Lakin siyo tu nahitaji mwenza...
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe.
:panda::panda:Rafiki yangu anatafuta seroius mchumba atakaye kuwa mke ndani ya kipindi kisichozidi mwaka mmoja , Kwanini rafiki yangu? Yeye amesoma kufikia ngazi ya kuwa Padre na...
Napenda kuwatangazia wana jf kwamba mwaka huu historia ya maisha yangu will change from senior bachelor to masters of couple. nahitaji kuoa ila mpaka sasa mchumba sina hivyo napenda kuwatangazia...
Habari za jion Wana JF ....
Mm ni kijana umri 30+
-Urefu 5.4 nch
-Colour -mweupe kiasi
-islamic
-Nna watoto wa3 kila mmoja na mama yake,
-Ila nnaishi watoto wangu.
-Kaz yangu ni Mishen town tu...
Rejea kichwa cha Habari hapo
Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu...
Kama Kichwa cha nyuzi kinavyosema.Natafuta Mpenzi ili baadaye awe kuja kuwa mke.
Sifa zangu;
Jinsia Me
Umri 30
Kazi Muajiriwa
Kimo Sio mrefu wala mfupi
Elimu yangu. Shahada ya kwanza...
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha
Sifa
1)Awe mkristo wa...
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo;
Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa...
Za mda huu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Hivyo RAFIKI wa kuchat naye na kubadilisha mawazo pale nafasi inapoatikana,
Ni vizuri asiwe mtu wa mambo mengi na atoe ushirikiano mzuri...
Kwanza wakuu poleni na majukumu ya kutwa mzima.nijielekeze mojakwamoja katika hoja yangu hawa jamaa wajenzi wa reli yetu ya mwendo kasi ,sielewi kwani kampuni nyingi za ujenzi zinakuja tunazioma...