Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema.
Usiwe mfupi, maana...
Mamboz. Natafuta rafik wakike wa kubadilishana nae nawazo, life sharing experience in defferent stuffs n others. AGE kunzia 18
Miak yangu ni 26. If ur intrested my pm ipo wazi.
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni mwa binadamu waliokamilika kila idara “Perfectionist”, so sinaga habari hovyo, mimi mambo ni clear huwa sikosei. I’m a serious guy, focused and faithful to GOD...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
Mimi ni mwanamke miaka 27 nipo Dar es salaam naishi namaambukizi nya
VVU natafuta mume wa kunioa mwenye hali kama Yangu miaka29 mpka34 awe na afya nzuri awe amejikubali awe mkristo awe tayali...
Kama heading inavyoeleza hapo juu
Sifa zangu
Kijana wa kiume 27yrs
Mrefu
Nimeajiriwa
Christian
Muaminifu
Upendo wa kweli
Sifa za ninaye muhitaji
Msichana
Umri 20-26yrs
Awe anashughuli ya kufanya...
Niingie kwenye mada tajwa.
Nahitaji mke mwema.
Sifa za nimtakaye
Awe mwaminifu mwenye nia ya kweli, aliyemaliza mambo ya ujana, aliyetayari na mwenye shauku ya kuanza familia.
Umri 26-35...
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Ipo hivi
Kuna Dada fulani aliolewa na Jamaa msomi (Engineer) ila uyu dada hakua amesoma. Walikuwa wanaishi vizuri kiasi kwamba mwanaume ameridhika na mkewe. Maisha yalikuwa yakienda vizuri...
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi, imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo Msabato, Lutheran etc, kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe...
Ewe dada mwenye shida ya kuolewa kimbia hapa!
Mkaka nakufata wewe mwenye lengo la kuwa na mwenza njoo tuzungumze PM... sina vigezo mimi
Tukiwaita humu hamtaki mkiitwa na Rwakatale mnakimbia Mob...
Mdada au mama mtu mzima anahitajika kwaajili ya messenger chats.
Umri kuanzia mwaka 23 na kuendelea na awe tayari kutuma picha zake bila kizuizi[emoji848][emoji848][emoji848]
Kama upo tayari PM...
Ndio umuhimu wa mama kubwa unapoonekana.... Unafunikwa mpaka nyusi.... Wanaposema blanket chapa ntu godoro wewe basi ndio hii... Na baridi kama hii... Kimbaumbau tupa kule... Sorry weka store kwa...
kama topic inavyojieleza natafuta mchumba wa kike umri wangu 25 na yeye awe na 18 -26 Awe single mother pia sio mbaya kikubwa 2pendane 2 Kwa maelezo mengi njoo Pm am SERIOUS
Oyo niaje mazee?
Ni takribani wiki mbili sasa tangu, demu wangu niliyempenda aolewe. Kwa kweli, ndani ya hizi wiki mbili nimepitia wakati mgumu sana ila nashukuru angalau moyo sasa umetulia na...
Habari za weekend wana jamvi.
Awali ya yote napenda kuchua nafasi hii muhimu kusema asanteni wote kwa michango yenu. Vilevile kuwaomba radhi wale wote tuliopishana kauli au waliokwazika kwa namna...
Habari wanajamii.
Mimi ni kijana 28yrs, tall-white, self-employed (najiweza).
Nahitaji mwanamke wa age 30-45 (awe vizuri financially).
Welcome PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina...