Wana jukwaa kma heading inavoonesha natafuta serious mwanamke mwenye hio age sifa asiwe na mume tu, na uwe na pesa sitaki vizinga me ni kijana wa 24yrs, nimechoka na mapenzi ya hawa mabinti bora...
Hellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza.
PS Wale wa kusema mtaani kwenu...
Jamani mi mgeni humu natafuta mchumba Arusha mjini mweupe mnene kias mrefu,awe nakazi au hana its ok mi mwenyew nimejiandaa nipo serious sitanii,umri wangu 33 years elimu dip Nina ksz ya kipato kidogo
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,mimi nikijana mwenye umli 36 natafta mchumba wa kike,haijalishi nidinigani Jambo muhimu awenimuelewa mkalimu asiye nagubu nazaidi ya yote asinipenda Sana ila...
Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 24_28.Natafuta mchumba ambaye yuko tayari aje tuyajenge tuanze maisha.
Kwa kuwakumbusha tu, sina nyumba wala gari, aje tuanze kuyajenga kwa pamoja...
Umri wangu miaka 28,
Mimi ni mkristo
Nahitaji mwanamke wa kuoa umri wake ni miaka 20
Hadi miaka 26 awe mrembo na anayejua wajibu wake kwa familia pia mcha mungu sichagui kabila dini ila asiwe...
Nipo dar kikazi na kimakazi nahitaj mwanamke mkweli awe mnene na mpenda kujiendeleza. Umri kuanzia miaka 25 wangu miaka miaka 49 namba Zangu 0789353455
Masharti haya hapa
»Awe tayari kufunga ndoa nami mapema iwezekanavyo ikibidi wiki ya pili au ya tatu baada ya kukutana. Sitaki maswali kwa hili nina sababu zangu.
»Awe mstaarabu, wale wa macho...
Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano;
Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu"
Nina miaka 31 na...
Nina miaka 27 ni mkazi wa dodoma kabila langu ni msukuma
Nahitaji sana kuwa na mke sema nahofia sana kipato changu kidogo
Nina biashara mbili za nguo kila biashara moja inaniingiza mapato ya...
habari za muda huu tafadhali nisiwachoshe sana Bali niende straight to the point.Lakini nikili tu kwamba sio mzoefu sana katika uandishi kwaiyo nitakosea sana na muonapo makosa nisahiisheni ndugu...
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5...
Kwa heshima na uadilifu najitokeza hapa kumtafuta mwanamke mwenye ugonjwa wa virusi vya maambukizi ya ukimwi kiukweli,ili awe mke wangu wa maisha yote!!Mimi ni mwanaume wa miaka kati ya 47 na...