Huwezi kusimama peke yako na kudumu kwenye mafanikio makubwa kwa muda mrefu bila kuwa na watu Pamoja na mifumo iyakayokubeba na kukusaidia kupanuka.
Unahitaji msaada kwenye maeneo haya:
1...
Mpo katikati ya mtanange aka tendo mara bibie anasimamisha pambano ghafla na kukutazama kwa jicho tepetevu la mviringo lililojaa huba hlf anakuuliza "baby unataka nikupe nini?"
Huko kwenu...
Nashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka...
Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).
Je tatizo ni...
Wadau hamjamboni nyote?
Dokezo
10.01.2025
Kutoka: Mume
Kwenda: Mke
CC: Wasimamizi ndoa
YAH: TUHUMA DHIDI YAKO
Tafadhali husika na somo hapo juu
Barua hii inahusu tuhuma dhidi yako kwa kufanya...
Hbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu...
kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa
Kaka angu magical power, nimeamua kuikimbia ndoa ili nimuokoe mwanangu naona walikuwa na nia mbaya juu ya mtoto. Kaka hata kujifungua tu kidogo nifie hospital...
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama...
Kuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi
Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala...
Vinalalamba lips kujipendekeza kwa warembo, vinapenda sana kupitiliza maana viko desperate na mapenzi na mwanamke akikuona uko desperate na yeye anaamua kuishi na wewe vile anavyotaka.
Hii...
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu...
Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..
Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.
Mali ulizozipata kutokana na kazi.
Mwanaume ana sacrifice muda, na...
Wasalaam wakuu!
Mara kadhaa nimesikia watu watu wakiilaumu pombe kama chanzo cha ufukara, mimi nakataa, nasema kuendekeza mayenu ni hatari zaidi ya pombe.
Kwa kifupi hakuna kiungo hatarishi kwa...
Ni jambo ambalo sijawahi kuliwazia ila ndio ukweli kwa kizazi hichi kilichoanzia miaka ya 90 kwenda mbele, ndoa zinavunjika kila kukikucha ila wachumba sugu bado wanaleta, zifuatazo ni baadhi ya...
Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message...
Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa...
Natumaini mkopoa?
Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale...