1. Wanawake wembamba wana roho mbaya.
2. Wanawake wembamba hawajiamini especially unapotembea nae na mkapishana na mwanamke mwenye shepu na mitako ya haja.
3. Wanawake wenye makalio wanazaaga...
Nilikuwa kijana sasa ni mzee. Miaka hiyo nafanya kazi kwa kijana mwenzangu ambaye Mungu alimbariki na kumuinua sana kiuchumi kwa nyakati hizo. Ni kati ya Waafrika wa mwanzo kumiliki SCANIA 111 na...
Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye...
NILIMPA FIGO YANGU
Kila ninapokumbuka, moyo wangu unauma,
Nilimpenda Rebeka, ni binti wa Kimanyema,
Chuoni nilipofika, kwa pamoja tulisoma,
Nilimpa figo yangu, la mbele sikutambua.
Tangu afike...
1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi.
2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda...
Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa
Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa...
Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Habari
Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda..
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie...
Wakulungwa hamjamboooo....!??
Ule wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu sasa umefika. Hatimaye bibi Kasinde amestaafu na kulipwa stahiki yake kwa kuitumikia Jamuhuriya Muungano wa Tanzania kwa...
Habari wadau.
Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.
Inasemekana walifanya harusi...
Jina : Zuu( sio jina lake halisi)
Age : Miaka 18
Mwaka wa kuzaliwa : 2006.
Elimu: Form 4 failure mwaka 2023.
Mahali kinapoishi: Ilala Rural ( Uswazi zinapo trend ngoma za singeli. Kila nyumba...
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!
Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si...
Nimevunja uhusiano wangu uliodum kwa miaka mi4 na mchumba angu tuliyekuwa tunaishi pamoja.katka miaka yote mi4 hatukuwai kubahatika kukaa pamoja zaidi tuliekuwa tunakutana mara2 au 3 kwa mwaka na...
Heri ya mwaka mpya.
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano...
Usishangae sana sii kwa ubaya huyo huyo best friend wako wa damu damu, ambae muda mwingi unapoteza nae, huyo huyo ambae shida zako nyingi anakusaidia kutatua kwa moyo wake wote.
Huyo huyo ambae...
Nianze kwanza kwa tahadhari sio kwamba nimeachwa la hasha!,isipokuwa ni matatizo tu ya kiufundi ndo yalijitokeza!. Maana humu hamkawii kusema nimepigwa na kitu kizito kichwani!.
Ilikuwa hivi,Jana...
Mimi ni kijana, nina miaka 37 kwa sasa, niliwahi kua na girlfriend tu,tukapata mtoto mmoja, tokana na changamoto za hapa na pale, tuliachana na kila mtu akawa na maisha yake, mtoto wangu kwa sasa...