Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.
Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika...
Zamani kipindi nimepigika nilikuwa kutwa kulalamika jinsi Serikali imetubania ajira na jinsi mademu zetu wanavyotuomba hela wakati utamu tunapata wote nikawaga VIP wa chaputa.ila baada ya kushika...
Ni wiki sasa Maryam ananipigia simu kila siku kila mara akidai anafarijika sana kuongea na mimi baada ya mpenzi wake wa muda mrefu kumtenda. Amekuwa akidai sauti yangu na maneno yangu yaliyojaa...
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa...
Ilikuwa ni weekend tulivu na yenye kibaridi chepesi nilichoamua nikichangamshe kwa kurukia maeneo ya starehe!. Hakuna starehe niliyoipenda Kama ya kunywa!,naam kunywa kile kimiminika chenye rangi...
Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]...
Wakuu, hebu funguka hapa, Je una uwezo wa kustahimili kulala kwenye chumba kimoja na watu wawili wanaofanya mapenzi na ukapata usingizi kabisa?.
Je imeshawahi kukutokea???
Miaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja...
Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.
Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana...
Hii issue nimekumbana nayo pia nimeiona sana kwa marafiki na jamii inayonizunguka wengi wakilalamikia suala la wanaume kuwa wabishi sana na waoga mno linapokuja suala la kucheki afya,ni nini...
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu...
Wakuu kwema!
Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.
Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.
Mtoto...
Nimepokea kwa masikitiko makubwa kisa cha mauaji ya muuguzi Mirembe aliyeuawa na mumewe kikatili.
Sababu pekee inayoweza kumfanya mwanaume kufanya ukatili huu ni wivu wa mapenzi.
Bahati mbaya...
Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri!
We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe...
Wakuu Mzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha
Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu.
Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile...
Habarini Wadau,
Napenda kutoa pongezi kwa Wanawake wengi wa kisukuma kwa kuwa na tabia njema kulinganisha na makabila mengi hapa nchini,kwa mfano:-
1) HESHIMA: Hawa mabinti wa kisukuma na hata...
Nikiwa kama kichwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume...
Shabaaaash! Habarini wanajukwaa.
Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa.
Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya...
Hii tabia imekuwa kero sana hasa kwa wanawake walioolewa yaani ukimkuta nyumbani unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba ni yupi na house girl ni yupi.
Yaani wote wanavaa nguo kama vibarua...
Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na...