Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy...
Baada ya kuuaga mwaka 2024 mwaka uliokuwa na mafanikio makubwa Kwa Kila mtu ...kulingana na utafiti niliyoufanya
Hawa ndio members walioupiga mwingi kwenye jukwaa la MMU based on several factors...
Heshima kwenu waungwana👊,
Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni...
Kama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha...
Wakuu,
Hawa watoto wa kike wanajua udhaifu wetu ni papuchi.
Kuna wakati unakataza jambo fulani ila yeye hasikii anakiuka kwa makusudi. Au anafanya kosa fulani analojua kabisa ulishamkanya...
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.
Binti yao huyu Ana 20.
Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.
Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na...
Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF?
Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au...
Wakuu kuna manzi mmoja anafanya kazi kwenye duka karibu na langu nimemzimika ile laana. Uzuri wa huyu manzi ni ngumu kuuelezea kwa lugha za kibinadamu. Wanawake wote duniani wakichanga uzuri ndo...
Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life...
Mimi binafsi niko addicted zaidi na wanawake walionizidi umri (mishangazi) kuliko hutu tutoto twa 2000, hii nahisi ipo kisaikolojia zaidi katika makuzi yangu.
Mara yangu ya kwanza kufanya ngono...
Yani unapata daladala mademu wamevaa vinguo fulani hivi laini vimeingia kwenye ikweta halafu anakususia mzigo wote uangaike nao, uku akikupa sapoti kdogo ya kujiweka vzuri usawa wa abdala pale...
Katika pitapita zangu mitandaoni nilikutana utafiti umefanywa ya kwamba unazungumzia wanawake wa kilokole au walokole hawafai kabisa kuolewa na wengi wao sio wife material kiasi cha kwamba utadumu...
Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki.
Wanawake wengine...
Za asubuhi waungwana.
Hiki kipindi kinahamasisha mgegedo walio kwenye ndoa kipindi hiki wanatupiga bao kwa maana wao mgegedo ni uhakika.
Lakini kwa sisi kataa ndoa hali ni mbaya demu unampanga...
Habari wakuu.
Iko hivi Kuna mchizi wangu yeye Ni msafiri wa nje ya Nchi kwajili ya hustle zake.Safari yake yeye Ni Italy Tu alianza kusafiri 2009 huyu jamaa.Miaka ikasogea akapa mchumba 2018 Na...
Na. Mwanaume Story
Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu...
Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake...
Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu...